Serikali ianze na hili kwanza

Serikali ianze na hili kwanza

KIBURUDISHO

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2011
Posts
1,002
Reaction score
278
Naiomba serikali kwa hatua ya awali kabisa ili kupambana na hili suala kwa kuitumia idara ya usalama wa taifa iliyo inchi nzima kupita mitaani na madukani kwa wauza cd/dvd kuzikamata cd zote zenye mihadhara inayochochea udini kwa atakaye onekana kukaidi huyo ndio awe mwanzo wa upelelezi wa tatizo hili watu hao wanaoendesha mihadhara hiyo wamefikia hatua ya kumdhihaki marehemu Baba wa Taifa katika suala hilo la udini
 
mimi naomba ianze na kumkamaa shehe ILUNGA maana ukisikiliza hotuba zake huyu ndie chanzo cha yote yanayotokea hapa nchin kwa sasa
 
Back
Top Bottom