Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hapa tulipofika hatukufika kwa bahati mbaya; tumefikishwa kutokana na maamuzi, maono na utendaji wa viongozi mbalimbali kwenye serikali yetu. Iwe kwenye masuala ya amani na ulinzi au masuala ya...
16 Reactions
41 Replies
3K Views
Wiki kama mbili hivi zilizopita Mkurugenzi wa Manispaa ya Bukoba alipelekewa hati ya kuitwa Mahakamani. Mkurugenzi alikuwa amefunguliwa kesi na Madiwani wakishirikiana na Mbunge kwa kosa la...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Katika kipindi cha This week in perspective cha ijumaa iliyopita. kulikuwa na mjadala juu ya machafuko yanayotokea nchini kujua chanzo, na nini cha kufanya. washiriki walikuwa Dr Kitine, Dr Bana...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Baaada ya kamanda Alphonce Mawazo na timu yake kuwasili katika kisiwa cha Iyumbo,kilichopo katika jimbo la Muleba kaskazini mkoani Kagera na kupiga mkutano mkubwa ukiambatana na maandamano makubwa...
10 Reactions
57 Replies
6K Views
Natamani, bunge lijalo liwe na maada tatu tu; na zijadiliwe na kufikiwa Muafaka; 1. Elimu yetu- Kuanzia nursery mpaka elimu ya juu 2. Upatikanaji wa nishati ya umeme 3. Mikataba na namna...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Katika moja ya sababu za msingi ambazo hazijatajwa kuchangia mporomoko wa elimu ni hili la walimu wa vodafasta. Tukiamua kuanisha kiwango cha ufaulu wa walimu wanaotufundishia vijana wetu tutaona...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Nashangaa baadhi ya watu kuleta vituhuma vya ajabu hasa skendo dhidi ya viongozi wa upinzani hasa hasa wa CDM.......na kuweka kauzibe ili watu hao wasiwe viongozi wakuu wa Taifa hili...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Si muda mrefu Waziri Mkuu, Mizengo Pinda amemaliza kikao chake na Masheikh pamoja na Maaskofu hapa Mwanza katika ukumbi wa BoT kuhusu nani achinje kitoweo. Katika mazungumzo yake na waandishi wa...
1 Reactions
542 Replies
42K Views
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIADIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS Telephone: 255-22-2114512,2116898 E-mail:ikulumawasiliano@yahoo.com press@ikulu.go.tz Fax: 255-22-2113425 PRESIDENT'S...
0 Reactions
56 Replies
4K Views
Wanajukwaa, heshima kwenu. kwanza niwape pole wote walioathirika moja kwa moja na tukio la vurugu na ugomvi wa tofauti za kidini kuhusu kuchinja huko geita. Familia yangu ina mchanganyiko wa...
3 Reactions
130 Replies
11K Views
Nikiwa ni mkereketwa wa siasa za vyama vingi, nachukua fursa hii kutoa ushauri kwa Chadema wabadilike katika mtazamo na uenezaji wa chama chao. Imekuwa ni kawaida yao kuelekeza nguvu nyingi...
0 Reactions
2 Replies
993 Views
  • Closed
TAMKO LA MTELA MWAMPAMBA KUFUATIA MAJIBU YA DR SLAA KUHUSU TUHUMA ZA UFISADI WA MILIONI 140 ZA CHAMA CHA CHADEMA JANUARI 04, 2013. Kwanza niwashukuru wana habari kwa kutenga muda wenu kuja...
2 Reactions
360 Replies
22K Views
Kamishna wa Polisi Zanzibar Musa Ali Musa ametoa kauli ya kujibu waraka uliotolewa na Kaldinali Pengo kuhusu Uamsho kuhusika na mauaji ya Padre Mushi. Kamishna huyo wa Polisi amesema kipeperushi...
1 Reactions
191 Replies
18K Views
Wadau jisomeeni hapa! Chama cha Walimu Tanzania (CWT) kimesema tume ya kuchunguza matokeo mabaya ya kidato cha nne kwa mwaka 2012 ambayo imeundwa na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, haitakuja na...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Salamu wakuu, ukitizama kwa makini utaona jinsi dhana mbili zinazotumiwa na hivi vyama viwili yaani CHADEMA pamoja na CCM. tufanye tathmini ipi dhana bora? 1.BOTTOM UP APPROACH. chadema ndio...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wana JF najiuliza kuhusu mustakabali wa TZ katika EAC, matokeo ya kidato cha 4 ni ishara tosha ya TZ kujitoa katika EAC pamoja na kuwa kinara wa kurejeleza umoja huo. Bado napata wasi2 kuhusu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Waziri wa elimu Dr. Shukuru Kawambwa , Philipo Mlulugo na Dr. Ndalichako ingekuwa busara mkajihudhulu kuliko kusubiri tuandamane, maana inaonyesha mmeshindwa kazi dhahiri, Juu ya matokeo mbaya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Polisi wazima maandamano Lindi, Mtwara hakukaliki HALI ya usalama mkoani Mtwara bado tete baada ya jana Jeshi la Polisi kuwahamishia mkoani Lindi waandishi wa habari 150, waliokuwa katika mkutano...
0 Reactions
32 Replies
4K Views
Majuzi tuliona spika na naibu wake wakifinyanga haki bungeni na wakatakiwa kujiuzulu. Mara yakaanza mauaji yanayohusiana na sababu za kidini tukataka waziri wa mambo ya ndani ajiuzulu. Haukupita...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Jana ukiwa EATV ulisema chama hakikupa viti maalum! Uligombea viti maalum, au ulikuwa na dada, mchumba, shangazi au mama aliyegombea akakakosa? Viti maalum alikuwa anapewa mgombea? - Hivi kila...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…