Natafuta clip ya Mbatia

Natafuta clip ya Mbatia

Komeo

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2011
Posts
2,498
Reaction score
1,172
Heshima mbele kwa wote.
Naomba mwanahabari au mtu yeyote mwenye speech yote ya Mh. James Mbatia aliyoitoa mbele ya waandishi wa habari ikiwa ni reaction yake mara baada ya matokeo ya Form IV kutangazwa rasmi na Serikali. Nimeamua kuiomba hii kwasababu nahisi kama kila chombo cha habari kiliamua kuchukua kipande cha speech ambacho kinakifurahisha chombo hicho kwa malengo ya chombo husika. Mwisho wa siku unakuta habari tofauti kutoka TBC, ITV, SATR TV, Magazeti ya Uhuru, Mwananchi, HabariLeo, Jambo Leo, na mengineyo japokuwa chanzo cha habari ni Mbatia huyo huyo tena kwa wakati ule ule mmoja. Full kuchanganyana. Ndio maana nimeshawishika kuisikiliza yote. Mwenye nayo tafadhali anipe link.
 
Back
Top Bottom