Pilato
Member
- May 29, 2008
- 60
- 3
Nasikitishwa na kauli ya waziri wa serikali ya zanzbar Bwn. Seif .S.Hamad kwa kulaani ujio na juhudi za mh. Nchimbi kwa tukio la mauaji ya Padre na uchomaji makanisa pale Zanzibar Mtu yoyote na waziri yoyote wa SMZ Tuwashangae ikiwa wanahoji ujio wako pale Zanzibar ,na nchimbi aanze na hao hata kama hana meno ashauri kwa wenye meno wa hojiwe na kuchunguzwa
Inaonyesha hawa watu si tu kujua hali hii ya hatari bali hata kufadhili na kuwa na uelewea wa kiini cha tatizo
Ukweli nchimbi kawagusa watu na baadhi viongozi wasaliti wa serikali hiyo kwa kauli yake ya hisia kali kuhusu kulaani na kuhofia kwa tukio hili kuhusishwa ama kufananishwa na ugaidi , kwa kupuuzwa na baadhi ya viongozi SMZ
Ki ukweli hofu yao ni kubwa maana muda umefika wa kukamatwa na Interpol , CIA na mashirika ya mengine ya kijasusi kimataifa na hapa hakuna mzaha inakuwa ni dora nyingine ya juu ambapo wengi wataumbuka kwani ni wazi Kikulacho kinguoni Mwako tutajua aibu zao, Kilichopo mnajulikana kwa hisia na minongono ila nchimbi hawezi kuwabana kitaifa kwa sababu ya Kikulacho kinguoni mwako
Katika historia ya Ugaidi aina hii ya matukio yanafanana kabisa na jinsi yalivyotokea kwenye nchi mbalimbali kwa kuanzishwa , Alshabab, Alqaida ,Boko Haram na sasa hali kadhalika inawezekana na Uamsho zanzibar ,na ikiambatana na kushirikishwa kwa usiri mkubwa viongozi wa nchi husika !
Anayemlaumu nchimbi hapa ajue atamshukuru siku za mbeleni , ila kama anapinga kila kitu cha nchimbi ambacho ni matokeo ya kudumisha amani iliyopo basi atakua anahujumu amani hii na anahusika tunaomba akamatwe na awajibishwe akiwa kiongozi ama raiya wa kawaida kwani atakuwa ni msaliti wa amani yetu..!
Pia kuna malalamiko mengi kuwa utendaji wa rais wetu ni ni legelege ,sasa leo nchimbi umemuomba rais kuhusu msaada wa uhusishe na mashirika ya ujasusi ya nnje , na rais amekubalia mara moja nakukupa kibali
Elewa nchimbi dhana ya rais kulaumia kwenye hili itakuja ikiwa ulichoomba kwake na akakukubalia ukashindwa kusimamia , jua atalaumiwa rais kwa kuonekana kweli legelege pamoja na wewe itakughalimu !
Nchimbi kaza moyo uko na wengi na nguvu ya wengi ni nguvu ya mungu , umbua watu hadi kieleweke hakuna haja ya kufikiri mara mbili kwenye hili, serikari haiwezi kutishwa na watu wachache kwa maamuzi yake ,bali wananchi na viongozi wanafki ndo yapaswa watishwe na maamuzi ya serikari mwishowe ipatikane suluhu na ukweli wa jambo zima ! bila kuoneana Aibu .!!! AICC ipo kwa ajili ya wahalifu hao!:yo::behindsofa: