Indume Yene
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 2,968
- 728
Kwa mara nyingine Chama Cha Mapinduzi (SISIEMU) kimepigwa chali katika kesi ya kupinga ushindi wa Meshack Opulukwa (mbunge wa Meatu-CHADEMA).
Katika kesi hiyo majaji 3 Catherine Urio, Edward Rutakangwa, na Mbarouk Salum Mbarouk walitupilia mbali kesi hiyo baada ya mdai kutofuata sheria katika ufunguzi wa malalamiko yake.
Kazi iko.