Baiskeli za mama !!!! kwani watanzania ni watoto

Baiskeli za mama !!!! kwani watanzania ni watoto

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,767
Reaction score
15,466
1754935829739.png





Jamani umasikini umefika huku hata baiskeli ni za kizamani
 
Kweli kabisa hizo baiskeli ni zamani ila zimepakwa rangi tu . Kwa wanaokumbuka miaka ya 90 kulikuwa na baiskeli zinaitwa Bugati * ndo hizi sasa zimerudi tena.
 
Kikuwel nilikuwa naona utan mwing wa hizi bike kwamba n mbovu juzi npo usukuman huko nkaikagua moja aseee haya n matakataka chuma yake ni laini sana ukipiga brek hairud had urudshe mwenyew rim rahs sana kupinda kwakwel sjui kesho ya nchi hii...
 
Hii habari imetangazwa Kizimkaz ama Wete...😶
 
Aliimba mtoto wa Mch Mbarikiwa
"Wanatuona manyani"
 
Watz pamoja na maujinga ya ccm ila sisi pia tuna mambo ya ajabu ajabu. Najaribu kuji assess mimi binafsi anaanzia wapi mtu kuja kunipa hicho kibaiskeli.
Hawana akili kabsa labda ya kutotembea uchi tu...
 
Icho ni moja vipengele alivyo pewa muwekezaji mmoja cha kuleta byskeli
 
Back
Top Bottom