FRIDAY, MARCH 1, 2013
CHADEMA YABADILI MBINU ZA KUWANIA IKULU 2015. PIA YAZINDUA M4C JIMBO LA MBEYA
Mwenyekiti wa Chadema taifa, Freeman Mbowe akiongea na viongozi wa Chadema wa mikoa ya...
Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Jaji Joseph Warioba atakutana na Waandishi wa Habari katika Ukumbi wa Mikutano wa Tume, Mtaa wa Ohio, jijini Dar es Salaam, kesho (Alhamisi, Machi 7...
Sitta amtikisa Kikwete
Na Saed Kubenea - Imechapwa 17 November 2010
HATUA ya kumuengua aliyekuwa spika wa Bunge la Jamhuri, Samwel Sitta kwenye kinyang'anyiro cha uspika, ililenga...
Vijana wengi hawajitambui, wanawaza siasa kwa mtazamo wa kuneemeka na maposho posho, wachache sana wanawaza siasa njia sahihi ya kuikomboa tanzania toka matatiszo yanayotukabili. we have to shape...
Watu tumekuwa na hamasa kubwa tangu utaratibu wa uzinduzi wa kanda ya magharibi ambayo inaundwa na mikoa ya TABORA,KIGOMA,RUKWA NA KATAVI ulipotangazwa lakini leo ni mara ya pili kuhahirisha...
Safari ya Abdallaman Kinana kwenda Kenya katika kipindi hiki cha uchaguzi kinatia wasiwasi kwa watanzania hasa ukizingatia CHADEMA wametoa support kubwa kwa Odinga, Na niwazi CCM wapo kwa...
MABARAZA YA KATIBA YA WILAYA YAWE HIVI
Tume ya mabadiliko ya katiba imetoa mwongozo wa jinsi ya uundwaji wa mabaraza ya katiba ya wilaya. Mie sina shida sana na uendeshaji wake, bali nina...
Tangu kuanza kwa vuguvugu la M4C hapana shaka mabadiliko ya kifikra yameanza kuonekana licha ya propaganda chafu za wazee wa magamba. Tunapoongeza nguvu za M4C kupitia kanda zetu ninawaomba...
Taasisi ya kujitegemea inayofanya Utafiti wa masuala mbalimbali ikiwemo Utawala bora na Demokrasia hapa nchini, Synovate imetoa matokeo yake ya utafiti wake uliomalizika hivi karibuni na...
Kamanda wa chama cha Demokrasia na Maendeleo-CHADEMA Ben Saanane amemshangaa Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Nape Nnauye kwa kupita huku na huko akihoji elimu za viongozi wa CHADEMA.
Akihutubia...
"UHONZOLOMO" ni neno toka katika lugha ya watani zangu wazaramo,walugulu na wakwele lenye maana ya jambo la hatari linalofanywa na mtu na athari zake ni kubwa katika jamii mtu mwenye kufanya hivyo...
UJIO wa Askari wa Shirika la Upelelezi la Marekani (FBI) nchini na kuanza kufanya kazi,umewezesha kuanza kunaswa kwa baadhi ya watu,wanaodaiwa kuhusika na mauaji ya Padre Evarist Mushi (55) wa...
SITI binti Saad, malkia wa waimbaji wa kike Wakizanzibari, aliwahi kuimba nyimbo iliyokuwa na maneno: Unguja ni njema, atakaye naje.
Siti aliyaghani maneno hayo kwa madaha na maringo zaidi ya...
Katika kile kinachodhaniwa na kuhisiwa na wengi ya kwamba WATU WA KUSINI,wamekubali matokeo na ukimya wao ni ishara tosha ya kulegeza kwao kamba dhidi ya kile kilichoamuliwa na serikali katika...
Jamani kunanini hapa...au nyie mwalionaje hili jambo??leo katika pitapita zangu magazetini nimekutana hili la JK kuchangia katika kuhakisha Uhuru anakamata Ikilu msimu huu.Tuanzie pale alipo...
Kuna watu wanasifia hapa kuhusu uchaguzi wa Kenya, wengine wanamsifia mwenyekiti wa tume ya uchaguzi kwa kuwa ni kijana , kwangu mimi hatuna cha maana cha kujifunza kwao kwa kuwa
1. Mpaka leo...
Nilisoma humu jamii kuwa CHADEMA walimfungulia kesi Nape kwa kutangaza kuwa CHADEMA wanapokea mabilioni kutoka kwa wafadhili ili waiuze nchi je kesi hii ni kweli ilifunguliwa?mbona hatuisikii au...
Ndugu WaTZ,
Ni lini matokeo haya ya Kiuharamia yatakwisha???, Maana kadiri siku zinavyikwenda kuna watu wanaofikiri TZ ipo kwa ajili yao wanazidi kucheza Mchezo mchafu dhidi ya Watanzania...
Habari waheshimiwa.
Kwanza kabisa nitangulie kuwataka radhi wale wote ambao kwa namna moja ama nyingine hoja zangu zitawagusa kwa namna ya tofauti.
Siku za hivi karibuni kumeibuka migogoro na...