CHADEMA na kesi ya nadharia

CHADEMA na kesi ya nadharia

makesy

Member
Joined
Jan 29, 2013
Posts
75
Reaction score
32
Nilisoma humu jamii kuwa CHADEMA walimfungulia kesi Nape kwa kutangaza kuwa CHADEMA wanapokea mabilioni kutoka kwa wafadhili ili waiuze nchi je kesi hii ni kweli ilifunguliwa?mbona hatuisikii au CHADEMA nao wameanza kutudanganya hata sisi wanachama wake?

Naomba mwenye ukweli kuhusu hili atujuze.
 
Dj kijasho kinamtoka kamjeruhi aliyekuwa mfanyakazi wake habari ya mjini mzee wa watu wanataka kumpeleka South jicho hana
 
Hiyoo kwa mimi naweza semaa siasa ni mchezo mchafu sana leo wanapondana kesho wanapatana so tukaembali sana na siasa coz Tanzania wote tunahuruma na hatuwezi fanya chochote juu ya hii nchi yetu makesy
Nilisoma humu jamii kuwa CHADEMA walimfungulia kesi Nape kwa kutangaza kuwa CHADEMA wanapokea mabilioni kutoka kwa wafadhili ili waiuze nchi je kesi hii ni kweli ilifunguliwa?mbona hatuisikii au CHADEMA nao wameanza kutudanganya hata sisi wanachama wake?

Naomba mwenye ukweli kuhusu hili atujuze.
 
Last edited by a moderator:
kusema na kutenda ni vitu viwili tofauti pamoja na ukweli kwamba unaweza kusema bila kutenda au kutenda bila kusema.
 
Nilisoma humu jamii kuwa CHADEMA walimfungulia kesi Nape kwa kutangaza kuwa CHADEMA wanapokea mabilioni kutoka kwa wafadhili ili waiuze nchi je kesi hii ni kweli ilifunguliwa?mbona hatuisikii au CHADEMA nao wameanza kutudanganya hata sisi wanachama wake?

Naomba mwenye ukweli kuhusu hili atujuze.
chadema haiwezi kupeleka kesi ya gedere kwa nyani
 
Back
Top Bottom