utabiri 2015

utabiri 2015

NSHOMA FRANCOUS

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2012
Posts
698
Reaction score
327
Wana JF natabiri yafuatayo 2015...

1. CCM wataingia mitini kwenye mdahalo

2.Mradi wa mabasi yaendayo kasi dar kufunguliwa 2015.

3.CCM itasambalatika.....


Endelea nawe kutabiri....................................
 
Wana JF natabiri yafuatayo 2015...

1. CCM wataingia mitini kwenye mdahalo

2.Mradi wa mabasi yaendayo kasi dar kufunguliwa 2015.

3.CCM itasambalatika.....


Endelea nawe kutabiri.............................
4.DR SLAA ATASHINDA KWA KISHINDO NAKUCHAGULIWA ---- RAIS WA TANO WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.
 
CCM watachota hela nyingi hazina na kwenye miradi mbali mbali kabla ya uchaguzi!
 
Wana JF natabiri yafuatayo 2015...

1. CCM wataingia mitini kwenye mdahalo

2.Mradi wa mabasi yaendayo kasi dar kufunguliwa 2015.

3.CCM itasambalatika.....


Endelea nawe kutabiri....................................

we mrembo lini tena umekuwa mganga wa kienyeji?
 
Hili Jukwaa la Siasa sijui linaelekea wapi Mungu wangu!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
dk slaa atashindwa vibaya na kuhamia ccm.huku akijisifia kupewa unaibu uwaziri wa vijana na michezo
 
Huo sio utabiri bali ni uhalisia wa mambo! Jipange urudi ipya.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
kweli jukwaa la siasa limekuwa jukwaa la umbeya. mods kwa nini msianzishe jukwaa la umbeya? kwa sababu 60% ya wachangiaji humu ni wambea na ingetuwia rahisi kupata habari zenye maana kwa kutuondolea hawa watu hapa na kuwapeleka kwenye jukwaa husika.
 
Back
Top Bottom