M.Kwidohya
Member
- Feb 18, 2013
- 61
- 7
Salaam langu la leo ni kuhusu awa viongozi wetu wananini ambacho paka tunawabeba kwa uzembe makusudi kujuana nini kinawapa kichwa awa watu kitu gani kinacho kufanya uzidi kung'ang'a unafaida gani nao jamani hivi kwa mwendo huu tutafika tuache kubebana kwasababu sijui mjumbe baba yako sijui katibu mjomba sijui diwani dada yako tena kama wewe ndio unanafasi nzuri ya kumwambia bwana watu wamechoka na mambo yako jilekebishe