Mwanaukweli
JF-Expert Member
- May 18, 2007
- 4,789
- 1,732
Hii hapa ni sehemu ya conclusion ya Ripoti ya Uchunguzi ya Scam ya EPA iliyotolewa na CAG miaka hiyo.
Interest yangu ni kujadili iwapo mapendekezo ya CAG yamefanyiwa kazi kama yanavyoonekana hapa.
Interest yangu ni kujadili iwapo mapendekezo ya CAG yamefanyiwa kazi kama yanavyoonekana hapa.