Bagamoyo kwalipuka tena - ni CCM vs CHADEMA

Richard Robert

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
632
Reaction score
340
Mienzi minne baada ya mwenyekiti wa CHADEMA wilaya Bagamoyo kutekwa na kuteswa na wanaCCM Oktoba mwaka jana wakati wa uchaguzi wa kata ya magomeni. UBABE umeendelea kutumika kuhakikisha CCM inaendelea kushinda kila CHAGUZI!... Hali hii imepelekea vurugu kubwa kuzuka katika kijiji cha kidomole!...

Hali hii inatokana na msimamo wa CCM kuhakikisha kwa namna yoyote CHADEMA haichukui nafasi yoyote ya kuongoza eneo la BAGAMOYO kwa madai kuwa ni aibu kwa WAKUBWA!...

Utamaduni wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kukamia kila uchaguzi mpaka chaguzi za vijiji na vitongoji umeleta kizaa zaa katika kijiji cha kidomole mchana wa leo!...

Kidomole ni moja ya vijiji 7 vya jimbo la Chalinze wilaya ya Bagamoyo ambavyo uchaguzi wa viongozi wa vijiji na vitongoji vyake umefanyika leo.

Kwa wiki tatu mfululizo uongozi wa CHADEMA mkoa wa pwani, wilaya ya Bagamoyo, jimbo la Chalinze na kata husika uliwekeza nguvu kubwa kuwakikisha ushindi unapatikana.

Hali hii iliishitua CCM na kumwaga pesa na makada kwa siku 2 za mwisho ambao wamekuwa wakizunguka nyumba kwa nyumba nyakati za usiku kushawishi wapiga kura wawapigie. Viongozi wa serikali na yule kijana tajiri kuliko wote TANZANIA walitia timu jana na juzi.

CCM iliamua kuwekeza nguvu kubwa kidomole ambako kuna migogoro mikubwa ya ardhi iliyowafanya viongozi na wananchi kuvunja uongozi na kuhamia CHADEMA april mwaka jana. Hivyo CCM iliamua kuhakikisha CDM haipiti.

Leo uchaguzi umeanza saa 2 asubuhi kukiwa na majina ya wagombea wa CCM pekee vituoni - ya wagombea wa CHADEMA yakiwa yamefichwa na wasimamizi wa uchaguzi. CCM walionekana wakiwazuia wafuasi wa CHADEMA KUPIGA KURA na vikosi vya katibu mwenezi wa CCM aitwaye BOLIZOZO au ZOZO kwa ufupi vikiwasaidia wanaCCM kupiga kura mara nne nne!!.

Wana CDM walipopinga hali hii waligeuziwa kibao na kuanza kupigwa kwa fimbo, mawe na mapanga. Wanachadema wengi wameumizwa ingawa hawapo katika hali mbaya. CCM walionekana kuwa wajiandaa kwa silaha.

Hivi sasa viongozi watatu wa CHADEMA wamekamatwa na wanaCCM polisi wamekuja kuwachukua. Mwenyekiti wa CHALINZE Torongey mpaka sasa yuko kituo cha polisi BAGAMOYO.

Source: Mimi - Katibu Mwenezi wa CHADEMA BAGAMOYO.
 
Duh hii njiii hii...sipati picha uchaguzi ujao 2015......Lets see!!
 
Pamoja na hila, ukatili na unyanyaswaji tunaofanyiwa wanaCHADEMA, hatuta kata tamaa ktk kutafuta ukombozi wa kweli wa taifa hili.
B
ali tutakuwa sugu kwa kutokusikia tena maumivu na ifikapo 2015 ndio utakuwa mwisho wa amani ya nchi hii endapo hali hii itajitokeza ktk uchaguzi huo ujao.
 
Its too much, mkurugenzi wa ulinzi na usalama Lwakatare uko wapi? Hebu nenda kafanye kazi huko.
 
Mienzi minne baada ya mwenyekiti wa CHADEMA wilaya Bagamoyo kutekwa na kuteswa na wanaCCM Oktoba mwaka jana wakati wa uchaguzi wa kata ya magomeni. UBABE umeendelea kutumika kuhakikisha CCM inaendelea kushinda kila CHAGUZI!... Hali hii imepelekea vurugu kubwa kuzuka katika kijiji cha kidomole!...

Hali hii inatokana na msimamo wa CCM kuhakikisha kwa namna yoyote CHADEMA haichukui nafasi yoyote ya kuongoza eneo la BAGAMOYO kwa madai kuwa ni aibu kwa WAKUBWA!...

Utamaduni wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kukamia kila uchaguzi mpaka chaguzi za vijiji na vitongoji umeleta kizaa zaa katika kijiji cha kidomole mchana wa leo!...

Kidomole ni moja ya vijiji 7 vya jimbo la Chalinze wilaya ya Bagamoyo ambavyo uchaguzi wa viongozi wa vijiji na vitongoji vyake umefanyika leo.

Kwa wiki tatu mfululizo uongozi wa CHADEMA mkoa wa pwani, wilaya ya Bagamoyo, jimbo la Chalinze na kata husika uliwekeza nguvu kubwa kuwakikisha ushindi unapatikana.

Hali hii iliishitua CCM na kumwaga pesa na makada kwa siku 2 za mwisho ambao wamekuwa wakizunguka nyumba kwa nyumba nyakati za usiku kushawishi wapiga kura wawapigie. Viongozi wa serikali na yule kijana tajiri kuliko wote TANZANIA walitia timu jana na juzi.

CCM iliamua kuwekeza nguvu kubwa kidomole ambako kuna migogoro mikubwa ya ardhi iliyowafanya viongozi na wananchi kuvunja uongozi na kuhamia CHADEMA april mwaka jana. Hivyo CCM iliamua kuhakikisha CDM haipiti.

Leo uchaguzi umeanza saa 2 asubuhi kukiwa na majina ya wagombea wa CCM pekee vituoni - ya wagombea wa CHADEMA yakiwa yamefichwa na wasimamizi wa uchaguzi. CCM walionekana wakiwazuia wafuasi wa CHADEMA KUPIGA KURA na vikosi vya katibu mwenezi wa CCM aitwaye BOLIZOZO au ZOZO kwa ufupi vikiwasaidia wanaCCM kupiga kura mara nne nne!!.

Wana CDM walipopinga hali hii waligeuziwa kibao na kuanza kupigwa kwa fimbo, mawe na mapanga. Wanachadema wengi wameumizwa ingawa hawapo katika hali mbaya. CCM walionekana kuwa wajiandaa kwa silaha.

Hivi sasa viongozi watatu wa CHADEMA wamekamatwa na wanaCCM polisi wamekuja kuwachukua. Mwenyekiti wa CHALINZE Torongey mpaka sasa yuko kituo cha polisi BAGAMOYO.

Mtapiga sana raia lakini NCHI IMEWASHINDA na mwisho wenu umekaribia.
 
Duh hakuna tofauti na uharamia au wizi au kufanya kosa la jinai la aina yeyote ile!! sasa hiyo mbegu ya CDM imeshapandwa, watakuja kushtukia its too late!!
 
Mungu yu mgwema,kwa kuwa mumgu haogopi bunduki wala aina yoyote ya siraha,ni imani yangu kwamba mwaka 2014 serikali nyingi za mitaa zitanyakuliwa na chadema kwa kuwa ccm itawalazimu aidha wakaushe a/c ya chama ama wafisadi miradi ya maendeleo ya nchi huku wakijua moto wa 2015 utawawakia mpaka uvunguni mwa mwili wa mwanadamu.
 
nataka nisikie mwekiti wa kijiji pale Msoga nyumbani kwa jk ni kutoka chadema na diwani wake chadema,mbuge chadema.it sound very good
 
Hii inatokea Tanzania au naota!? Ee Mungu tusaidie watu wako tunaangamia
 
poleni sana wenzangu, ila inaonekana viongozi wetu hawakujiandaa kwa uchaguzi au hawahapew mbinu za kutosha za kupambana na mafisadi, haiwezekani washindwe kujiandaa mapema kuishinda ccm, hizi mbinu zao ni za kila cku hizi zinajulikana kila uchaguzi
 
nguvu ya shetani haiwezi kushindana na nguvu ya mungu! CCM ni mashetani cdm ni wa mungu...may GOD BE WITH CDM!!
 
Yamejirudia tena? Tunakwenda wapi?!.. Kiwangwa 2012 - CHADEMA walivunjiwa vioo vya gari! Mwaka huo huo Mwenyekiti akatekwa na watekaji wakitumia gari la HADIJA KOPA lakini polisi hawakuchukua hatua yoyote!
 
Ccm mara zote wapo tayari kusababisha vurugu, ili mradi washinde uchaguzi. Ccm sio wazalendo na hawalitakii mema taifa letu!
 
Udhalimu wa aina hiyo haukubaliki popote pale mwisho wao unakuja.
 
Nasikia mwendesha mashitaka mkuu wa ICC yupo nchini,magamba wanajidhihirisha vile hawaheshimu haki za binadamu.
 
Mienzi minne baada ya mwenyekiti wa CHADEMA wilaya Bagamoyo kutekwa na kuteswa na wanaCCM Oktoba mwaka jana wakati wa uchaguzi wa kata ya magomeni. UBABE umeendelea kutumika kuhakikisha CCM inaendelea kushinda kila CHAGUZI!... Hali hii imepelekea vurugu kubwa kuzuka katika kijiji cha kidomole!...

Hali hii inatokana na msimamo wa CCM kuhakikisha kwa namna yoyote CHADEMA haichukui nafasi yoyote ya kuongoza eneo la BAGAMOYO kwa madai kuwa ni aibu kwa WAKUBWA!...

Utamaduni wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kukamia kila uchaguzi mpaka chaguzi za vijiji na vitongoji umeleta kizaa zaa katika kijiji cha kidomole mchana wa leo!...

Kidomole ni moja ya vijiji 7 vya jimbo la Chalinze wilaya ya Bagamoyo ambavyo uchaguzi wa viongozi wa vijiji na vitongoji vyake umefanyika leo.

Kwa wiki tatu mfululizo uongozi wa CHADEMA mkoa wa pwani, wilaya ya Bagamoyo, jimbo la Chalinze na kata husika uliwekeza nguvu kubwa kuwakikisha ushindi unapatikana.

Hali hii iliishitua CCM na kumwaga pesa na makada kwa siku 2 za mwisho ambao wamekuwa wakizunguka nyumba kwa nyumba nyakati za usiku kushawishi wapiga kura wawapigie. Viongozi wa serikali na yule kijana tajiri kuliko wote TANZANIA walitia timu jana na juzi.

CCM iliamua kuwekeza nguvu kubwa kidomole ambako kuna migogoro mikubwa ya ardhi iliyowafanya viongozi na wananchi kuvunja uongozi na kuhamia CHADEMA april mwaka jana. Hivyo CCM iliamua kuhakikisha CDM haipiti.

Leo uchaguzi umeanza saa 2 asubuhi kukiwa na majina ya wagombea wa CCM pekee vituoni - ya wagombea wa CHADEMA yakiwa yamefichwa na wasimamizi wa uchaguzi. CCM walionekana wakiwazuia wafuasi wa CHADEMA KUPIGA KURA na vikosi vya katibu mwenezi wa CCM aitwaye BOLIZOZO au ZOZO kwa ufupi vikiwasaidia wanaCCM kupiga kura mara nne nne!!.

Wana CDM walipopinga hali hii waligeuziwa kibao na kuanza kupigwa kwa fimbo, mawe na mapanga. Wanachadema wengi wameumizwa ingawa hawapo katika hali mbaya. CCM walionekana kuwa wajiandaa kwa silaha.

Hivi sasa viongozi watatu wa CHADEMA wamekamatwa na wanaCCM polisi wamekuja kuwachukua. Mwenyekiti wa CHALINZE Torongey mpaka sasa yuko kituo cha polisi BAGAMOYO.
hilo ndilo tunalolitegemea katika chaguzi zote zinazokuja maana ccm wameamua kuingiza nchi kwenye vita.lakinivyovyote itakavyokuwa lazima waondoke madarakani na waukumiwe kwa babaya yote waliyoyafanya
 
chadema kwa fujo hamuogopi mamlaka na kutii sheria bila shuruti wakipewa kipondo utasikia tunaonewa na ccm
 
Back
Top Bottom