Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Huku waheshimiwa wabunge wakiwa wanalipwa sio chini ya 6,000,000/- kwa mwezi na kukiwa na habari za ongezeko la fedha hiyo mpaka 10,000,000/-, madereva wanaowaendesha waheshimiwa hawa wamelalamika...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Hii mahakama ilidizainiwa mahsusi kwaajili ya kuwakandamiza waafrika hasa wale wanaokuwa hawatekelezi yale wanayoambiwa na hawa mabepari katika kulinda interst zao. Huko China kuna...
0 Reactions
63 Replies
5K Views
Katika makala yake ya Maswali Magumu ndani gazeti la Tanzania Daima Jumapili, la tar 21 Desemba 2010 yenye kichwa 'Kikwete kachaguliwa kwa udini au siasa?'; Ansbert Ngurumo aliandika mengi...
15 Reactions
53 Replies
5K Views
SASA kuna dalili zinazoonyesha kuwa utekelezaji wa mpango wa kumteka na kumtesa kinyama Mhariri Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya New Habari (2006) Ltd, Absalom Kibanda, ulifanywa na watu waliopata...
4 Reactions
124 Replies
14K Views
Siyo siri kuna haja ya kuelimisha umma kwa kipindi hiki kuelekea uchaguzi mkuu mwaka 2015 na hata katika chaguzi ndogo zinazoendelea kwamba mfumo wa tawala zilizopo ni lazima zibadilike ndipo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
SUMU NNE ZINAZOUA UBORA WA SIASA YA NCHI YETU! Tanzania ni nchi iliyosifika na kujizolea umaarufu kwa miaka mingi sana kwa utulivu na kuwa na mfano wa kuigwa katika utaratibu wa kubadilishana...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Ndugu zangu, "Na hakika, kwa kutanguliza ubinafsi wetu, tunawaandalia watoto na wajukuu wetu, mazingira magumu ya kuishi kwa amani katika nchi yao. Katiba Mpya ijayo, iwe ni kwa Tanzania ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mbunge wa viti maalum Mh. Leticia Nyerere amewatoa mashaka waTanzania wote waliokua njee ya nchi juu ya swala zima la kuwa raia wa nchi mbili Amesema kinachoendelea hivi sasa juu ya maoni ya...
1 Reactions
51 Replies
5K Views
Warioba assists Kahama The Chairman of the Constitutional Review Commission (CRC), retired Judge Joseph Warioba (right), assists veteran politician, Sir George Kahama, walk down the stairs of...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
8 MARCH 2013 05:34 (SOUTH AFRICA) Photos show Daudi Mwangosi's body lying in the dirt, his torso eviscerated after police allegedly fired a teargas canister at close range. He was the first...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Marekani Yaimwagia Sifa Tanzania Rais wa Marekani,Barack Obama Na Mgaya Kingoba. MAREKANI imesema kwamba Tanzania ni moja ya nchi inazozipigia mfano miongoni mwa nchi zinazoendelea, kwa uongozi...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
  • Closed
Afisa elimu msingi wa wilaya ya serengeti jumatano ya wiki iliyopita alitoa kali ya mwaka pale alipotinga katika shule ya msingi nyamoko na kuwakimbiza walimu wa shule hiyo mchakamchaka na kichura...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
African gas projects misfire Jan 24, 2013 12:00 AM As Mozambique and Tanzania gear up to become leading...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
JESHI la Kujenga Taifa (JKT) limetaja shule 24 za sekondari ambazo zitatoa wanafunzi 5,000 waliomaliza kidato cha sita watakaojiunga na jeshi hilo. Mkuu wa JKT, Meja Jenerali Raphael Mahuga...
1 Reactions
33 Replies
10K Views
Karibuni kwa update ya matukio katika mkutano huu wa Tabata. ---------- Up date ---------- Diwani wa segerea anaongea na kaongelea kuhusww kwa soko na kupewa Mtu bnafsi na kaongelea...
1 Reactions
56 Replies
6K Views
Katika kuhakikisha kwamba CHADEMA inajenga mtandao imara na madhubuti,makamanda wa wilaya ya Lushoto wakiongozwa na Kamanda Mbelwa wanaendelea na zoezi la kusimamisha wagombea katika vijiji 22...
5 Reactions
57 Replies
5K Views
Let's reflect upon this! KONY 2012 SCAM/FRAUD - African Invasion Begins! (Alex Jones,infowars) - YouTube
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Matukio yanayoendelea kutokea katika nchi yetu yanaonyesha pasipo shaka kuwa, iwapo Serikali haitachukua hatua za haraka na za makusudi, Tanzania itakuwa moja ya nchi zinazojulikana kwa vitendo...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
KWA UFUPI "Takribani ndani ya miezi 10 sasa, zaidi ya watetezi wa haki za binadamu 10 wakiwamo waandishi wa habari wameshajeruhiwa, wamepata vitisho au kuuawa." Mtandao wa watetezi wa haki za...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…