Mpina amesema kuna viongozi wengi Sana wa serikali wameiba vya kutosha hii nchi akiingia IKULU mali zote za serikali watazitapika mara moja mahoteli yao zitakuwa hospitali za umma
Hii ni habari mpya mjini, Mangi kasepa na mzigo wote wa tone tone.
Yericko Nyerere aliyekua kada wa CHADEMA kabla ya kuhamia CHAUMMA, kupitia ukurasa wake wa X-Twitter ameandika haya...
Tanzania Ina njia mbili za kuwa Tajiri
1. Uwaibie wananchi uku ukirindwa na serikali.
2.uiibie serikali kwa KUSHRIKIANA na serikali yenyewe.
Km msomaji wanibishia karibu njia Moja wapo hapo juu...
Ni wazi kuwa jina "Chama Tawala" dhidi ya "Vyama vya Upinzani" , Haileti usawa katika siasa za Tanzania.
Sababu ya Hoja hii ni kwamba; Majina haya huashiria maana zilizo jificha.
Kwa mfano...
Kwa wale mashaidi wa kesi mh Lissu ... Jamaa atawaumbua mapema na kila mtu atawajua mchana kweupe.
Stay tuned wala msiwe na shaka awataja mwenyewe Kizimbani
Serikali imetoa wito kwa vijana nchini kuhakikisha wanalinda amani ya Taifa katika kipindi cha kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, ikisisitiza kuwa amani ni msingi wa maendeleo endelevu...
My Take
Miaka 15 Inamtosha
================
Devotha Minja ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa CHAUMMA na Mgombea Mwenza wa Urais kupitia Chama hicho amewasili hapa Tabata Shule Jijini Dar es Salaam...
Malalamiko yameanza pesa za michango ya Chadema ya tonetone zinaishia makao makuu matawini hazifiki tofauti na Lisu alivyoahidi kwenye kampeni kuwa akipewa uenyekiti atahakikisha pesa za ruzuku na...
JE TUNAWEZAJE KUVUNJA UTAMADUNI WA URITHI WA KISIASA — UONGOZI SI URITHI WA FAMILIA
Nguvu ya Uongozi Hailingani na Jina la Ukoo
Katika historia ya mataifa mengi barani Afrika na Tanzania siyo...
==
Chini ya Rais Samia, bajeti ya TARURA Mkoa wa Mara imeongezeka kutoka shilingi bilioni 6.92 mwaka 2020/2021 hadi bilioni 25.71 mwaka 2024/2025, ikisaidia kufungua barabara mpya, kukarabati za...
Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amepongeza uandaaji wa hafla nzima ya uzinduzi wa harambee ya kuchangia kampeni ya CCM.
Pia, ametoa...
Wachimbaji wadogo wa madini wamechangia Bilioni 16.2 kwenye harambee ya kuchangia kampeni za CCM 2025, zilifanyika Mlimani city (CCM gala dinner 2025)
Soma Pia: Harambee ya kuchangia kampeni...
Hizi ni baadhi ya Sababu za nyuma ya pazia kuchangia CCM.
1. Kuwa "Untouchable": Unajenga taswira ya kuwa mtu muhimu kwa chama na serikali.
2. Kupata Taarifa za Uchunguzi: Kupitia uhusiano wako...
Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) kimesema hadi kufikia Agosti 4, 2025 kimepata jumla ya watia nia wa udiwani 2,116 kati ya kata 3,953, sawa na asilimia 53 ya kata zote nchini.Aidha, kwa upande...
Kiongozi mstaafu wa chama cha ACT Wazalendo na mtaalamu wa uchumi, Zitto Kabwe, ametoa onyo kali kwa watu wote- ndani na nje ya Serikali wanaojihusisha au kupanga kumsaidia mfanyabiashara...
Msajili wa Hazina Nehemia Mchechu, amesema katika jitihada za kuboresha uendeshaji wa mabasi ya mwendokasi benki ya NMB imekubali kutoa mkopo kwa Serikali ambayo inamiliki kampuni ya UDART kwa 85%...
Harambee ya usiku huu ni ishara tosha kuwa CCM ni chama kikubwa cha siasa na hakina utani wakati wa kukamata dola utakapofika.
CCM ni chama dume, dume lenyewe la mbegu hasa.
Usiku Mwema Wahaini...
GT
1. Uongozi ni talanta kutoka kwa mungu
2.Uongozi ni karama mtu aliyojaliwa.
3. Kiongozi hatumii nguvu nyingi kuwa kiongozi.
4. Kiongozi ni kimbilio la watu.kutatua changamoto zao.
5...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.