TandaleOne
JF-Expert Member
- Sep 4, 2010
- 1,644
- 709
MIMI NAWAZA NA SINA KITAKACHONIFANYA KUYAMALIZA MAWAZO HAYA MPAKA HAPO KESHO, NITAKAPOONA MAGAZETI YA KESHO YAMEANDIKA NINI KUHUSU MKUTANO WA CCM JANGWANI LAKINI KAMA NITATOKA KWENYE MAWAZO HAYA NA KUUVAA UTABIRI HATA KWA MUDA TUU.,UTABIRI HUO UTAKUWA KAMA IFUATAVYO KATIKA VICHWA VYA HABARI VYA MAGAZETI FULANI.
* Jangwani CCM yakosa watu.
* Magari ya kubebea watu yafurika jangwani.
*CCM yatumia Bilioni 40 mkutano wa jangwani.
* Gharama ya Mkutano wa CCM Jangwani, sawa na kujenga hospitali 8 za rufaa.
Na kama kwa namna yoyote ile wahariri wa siku zote hawatokuwepo, wakahariri wengine ambao ni reserve au wanabaniwa kwa kuwa wanaonekana ni wa mlengwa wa kati kwa kati,wataandika kama ifuatavyo;
* Lowasa afadhili mkutano wa CCM jangwani.
* Fedha za miradi ya barabara Magufuli azitumia kwa ajili ya mkutano Jangwani.
* Ng'ombe 300 wateketea kwa ajili ya kuandaa chakula cha wahudhuriaji wa Mkutano Jangwani.
* Hakuna mwananchi wa kawaida aliyehudhuria jangwani zaidi ya viongozi wa CCM na familia zao.
Namna hii TANZANIA DAIMA, MWANANCHI, MWANAHALISI yatasomeka..,niko TAYARI KUWEKA dau hata la Mke wangu niliyeoa kama utabiri wangu ukifeli.
Swali la msingi ni je huu ni MSIMU WA KALAMU kwamba kila mtu anaandika ama ni KALAMU ZA MSIMU kwamba watu wanaandika kulingana na upepo fulani..?
Ningependa Swali hili lijibiwe na wahariri na great thinkers ambao hawafikiri kwa jina la "meya"........naona hakuna mikono iliyonyooka kujibu swali langu..,anyway anyone can try...!