Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

PAMOJA na vyombo vya dola kupiga chenga katika kuwakamata watuhumiwa wa matukio ya kutekwa, kuteswa na kuumizwa kwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Madaktari, Dk. Stephen Ulimboka na Mhariri Mtendaji...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Wakuu kuna bandiko nimeliona sehemu, Rais amewataka vijana wawe wazalendo, na wasiwaunge mkono wale wanaoisema nchi vibaya!! na yeye haoni ni wapi nchi imeteleza! Wana JF.... Je, ni kweli...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Chama cha Demokrasia na maendeleo(CHADEMA) kimeibwaga CCM katika uchaguzi mdogo wa vijiji na vitongoji ambapo kimechukua vijiji vyote vinne....matokeo ya vitongoji bado yanakusanywa lakini...
8 Reactions
36 Replies
5K Views
Baada ya uongozi wa juu CCM kugundua kwamba kwa sasa pamoja na Propaganda zote walizotumia kuichafua CHADEMA na hata kujaribu kuipaka Uchafu wa Udini, Ukabila,Ukanda na sasa Ugaidi kushindwa...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Mahakama ya wilaya ya Geita imemhukumu mtuhumiwa na wenzane wengine 6 kutumikia jela kifungo cha miaka mitano. Mtuhumiwa na wenzake sita wamefungwa kwa kosa la kuchoma moto nyumba ya Mwanakijiji.
1 Reactions
64 Replies
10K Views
Kwanza kabisa napenda kuwaomba radhi wana jf, wa thread hii kuipost leo, ni hii ni kwa sababu ya kukosa umeme ambapo hapa mwanza baadhi ya maeneo tunapata umeme kwa saa 10 tu, na ni mgao wa...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Kuhusiana na kashfa ya jaribio la kuiba fedha kiasi cha Tshs 3bilioni lililofanywa na ofisa wa Ikulu, Ikulu kupitia Balozi Ombeni Sefue, imetoa tamko kwamba imemshusha cheo Itatiro. Wengi...
2 Reactions
29 Replies
3K Views
Inashangaza kuona kwamba Nd. Omega Ngolle anasema kwamba ofisi ya DPP haioni sababu ya kuwataja wahusika katika Kampuni ya Kagoda Agr. Ltd. Hili ni jambo ambalo linawakatisha tamaa wananchi...
1 Reactions
6 Replies
4K Views
Dear Friends and Colleagues I hope this e-mail finds you well. We are currently conducting an exciting research which investigates the possibility of introducing a remote electronic voting...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Neno Jasiri (confident) katika kamusi/dictionary ya Oxford inaeleza hivi 1 feeling confidence in oneself. 2 feeling certainty about something. Kwa tafsiri isiyo rasmi 1.Ni hali ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ni wazi kwamba dhumuni kuu la CCM kutengeneza skendo hii ya "Lwakatare" ni kuichonganisha CHADEMA na waandishi na vyombo vya habari. Kwa miaka ya karibuni tishio kubwa kwa CCM limekuwa ni vyombo...
32 Reactions
67 Replies
7K Views
TANESCO mbona kuanzia November hii umeme unakatwa karibia kila siku? Leo nusu ya Dar haina umeme kulikoni? Au CCM wameuchukuwa umeme wao Dodoma? Ninapoandika hapa ni group la pili la wafanyakzi...
1 Reactions
695 Replies
53K Views
  • Closed
Salamu wana Jamii! Habari ndo hii hapa. Wasalaamu JUKWAA LA WA WAKRISTO TANZANIA (TCF) "ATUKUZWE MUNGU JUU MBINGUNI, NA DUNIANI IWE AMANI KWA WATU ALIOWARIDHIA" (Lk.2:14) TAMKO LA PAMOJA LA...
29 Reactions
361 Replies
32K Views
Wanajavi natanguliza samahani kwa watakao kwazika kwa namna moja au nyingine na hili....binafsi nikiwa kijana mpenda mabadiliko ktk nchini yangu hii napata shida sana na ni muda sasa kwanini mtu...
6 Reactions
134 Replies
9K Views
"Ndugu zangu, Hatari kubwa ninayoiona mbele yetu ni kwamba, uzalendo, utu na udugu miongoni mwetu Watanzania unaondoka kwa kasi ya ajabu, nyuma yake kumeachwa ubinafsi uliotamalaki na wenye...
12 Reactions
98 Replies
8K Views
Bodi ya mamlaka ya bandari TPA imewafuta kazi rasmi watumishi wengine 4 baada ya kuwasimamisha kwa uchunguzi, waliofutwa kazi ni Devid Mranda [Mkuu wa usalama],Ayubu Kamti [Mkurugenzi...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Sijui ni singo gani inafuata, maana bendi yetu CCM,hawachuji, hizi ni baadhi ya singo za hivi karibuni,kadi 2 za Dr Slaa,mwangosi(RIP), nani achinje,gesi ya ntwara,matokeo ya form 4,kibanda(pole...
1 Reactions
0 Replies
863 Views
Watanzania hamjawahi kupigana hata siku moja - hamjawahi kuona mauaji makubwa huwa mnasikia tu redioni na kwenye luninga zenu. Harufu ya damu inanukia, dharau zimezidi kati ya watawala na...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Mimi ni miongoni mwa watu wasioiamini video iliyowekwa humu jamvini kuhusu Rwakatale. Naona video hiyo imetengenezwa kwa lengo la kuwabebesha CHADEMA mzigo wa laana na shutuma za mauaji walionao...
2 Reactions
46 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…