Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

  • Closed
Wadau naomba tuiangalie CV ya huyu Naibu Waziri wa Elimu na Ufundi tuone kama ina kidhi majukumu mazito : First Name: Philipo Middle Name: Augustino Last Name: Mulugo Member Type...
1 Reactions
322 Replies
51K Views
Wanabodi, Tangu lianze sakata la maandamano ya chadema, kituo cha cha Star TV kimejitanabaisha wazi ni upande gani wanaelemea. Juzi walitoa taarifa inayoonesha watu katika mkoa wa Mwanza...
2 Reactions
46 Replies
5K Views
Kama unakataa kumpa ajira Dr Mweregu na kumpa Mulugo(fraudster) Uwaziri ,what do you think?
0 Reactions
54 Replies
6K Views
Watu wa kusini tuna wabunge lakini bado wanashangaa shangaa.Tunahitaji kuwa na mbunge atakae sema wananchi kwanza badala ya chama au cheo,nimeshawahi andika juu ya swala la gesi,nikataka tujifunze...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Habari ya leo wakuu. Kwa mtazamo wangu hakuna nchi yoyote inayoweza kupiga hatua kama haina rasilimali watu na huduma nzuri za kijamii ya muhimu kuliko zote ni hospitali. Tanzania tumejali...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kimesaini mkataba wa ushirikiano na Chama cha Conservative cha watu wa Denmark. Mkataba huo una lengo la kuwajengea uwezo Vijana na Wanawake zaidi ya...
3 Reactions
38 Replies
4K Views
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeibuka kidedea katika nafasi ya Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji wa Tarime, baada ya Daudi Wangwe kushinda nafasi hiyo. Wangwe alipata kura 24 zilizopigwa na...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
wapendwa wana jamvi kwa jinsi E.L anavyokwenda kwa spidi kali namna hii anatisha...mimi najiuliza mbona mtu kama mengi,pinda,jk na wengineo hawaalikwi tena kabisa katika harambee..? jana tuu...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Iwapendeze wakuu; Nimekuwa nikimfuatilia kwa ukaribu mno Mh. Mwakyembe kuanzia utendaji wake na hata maamuzi anayoyachukua mbele ya waandishi wa habari na uma wa Watanzania kwa ujumla. Mengi ya...
1 Reactions
41 Replies
4K Views
What would happen if we were to initiate such a campaign to demand that foreign aid ought to be halted until a new policy on solicitation of the same is put in place? Unafikiri CCM na serikali...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Thomas Mukoya/Reuters President Xi Jinping of China leaving the Julius Nyerere International Airport in Dar es Salaam, Tanzania, on Monday. By CHRIS BUCKLEY Published: March 25, 2013 HONG...
1 Reactions
0 Replies
794 Views
  • Closed
Zanzibar: Washtakiwa wa kesi inayowakabili viongozi wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kidini (Jumiki) Zanzibar, wamesomewa mashtaka mapya katika Mahakama Kuu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Akiongea leo jioni ktk TV ya EATV ameonesha kuguswa na tume ya makweta na michango ilotolewa na tume hiyo na kudai,yaliyooneshwa na tume hayakufanyiwa kazi na hadi sasa anasikitishwa na danadana...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
- Rasilimali za taifa zikuze uchumi na kuwanufaisha wananchi - - Wekeni mambo ya pesa uwaziHAPANA --- China na Tanzania ni marafiki ila viongozi wa serikali zake wana vision tofauti. Wachina...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Waziri mkuu,mh.Mizengo Pinda,ndie mshauri wa Raisi wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika mambo mbali mbali ya uendeshaji na utendaji serikalini. Hivi sasa imeibuka kashifa ya wazi kuhusu...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
  • Closed
Mmiliki halali wa vyeti vya kidato cha sita vinavyodaiwa kutumiwa na Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo,Phillipo Mulugo amepatikana. Mmiliki halali huyo ni Ndugu Dickson Mulungu ambaye kwasasa ni...
2 Reactions
12 Replies
3K Views
Mwenyekiti mpya wa kijiji cha Mgelema kata ya kwai wilaya ya Lushoto kupitia CHADEMA hajui kusoma wala kuandika imebainika,mwenyekiti huyo bwana Juma Rashidi alipata ushindi wa kishindo dhidi ya...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Mkurugenzi Mkuu wa taasisi ya RNF, OMBENI MSUYA yenye makao makuu mkoani Dodoma Leo wamekabidhi msaada wa vitu mbalimbali katika maadhimisho ya siku ya polisi mkoa wa Dodoma. Mkurugenzi Mkuu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Diwani wa kata ya ulemo iramba unachokifanya hata mung atakulaani, wananchi wanahoji matumizi mabaya ya mali za kijiji we unawakamata unawaweka mahabusu? si sawa.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Heshima kwenu wana jukwaa! Bila shaka Watanzania tunaona,tunalalamika na kujutia mara nyingi sana pale ambapo masuala mengi ya kiuchumi,kisiasa na kijamii huwa hayaendi vizuri. Natambua...
4 Reactions
16 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…