Cv ya mbunge wa Dodoma mjini.

Malolella

JF-Expert Member
Feb 3, 2012
366
111
Wanajf naomba mwenye cv ya mbunge wa jimbo la Dodoma mjini aiweke hapa. Nimejitahidi sana kufatilia utendaji wake pamoja na uwepo wake na uchangiaji bungeni ni utata mtupu. Naombeni cv yake mengine nitasema baada ya kupata cv yake.
 
Ni mkurugenzi wa City secondary iliyopo Dodoma town kabla ya hapo aliwahi kufanya kazi Ndanda kabla ya kufukuzwa zaidi watakuja wanaomjua vizuri zaidi
 
Back
Top Bottom