Companero
Platinum Member
- Jul 12, 2008
- 5,609
- 1,738
Katika ngazi ya dunia kuna watu kama Cicero. Hawa ni watu wenye mvuto na uwezo wa ajabu wa kupanga mbinu, kujenga hoja na kutetea mipango. Inasemekana wana uwezo hata wa kumfanya mtu mwenye njaa kali awape chakula pekee alicho nacho.
Je, kwa Tanzania ni watu gani ambao tunaweza kuwaita wanastratejia mahiri wenye mvuto? Naanza na hawa hapa:
1. Titi Mohamed
2. Erica Fiah
3. Zuberi Mtemvu
4. Oscar Kambona
5. Kinjeketile Ngwale
6. Paulo Mashambo
7. Kasanga Tumbo
Je, kwa Tanzania ni watu gani ambao tunaweza kuwaita wanastratejia mahiri wenye mvuto? Naanza na hawa hapa:
1. Titi Mohamed
2. Erica Fiah
3. Zuberi Mtemvu
4. Oscar Kambona
5. Kinjeketile Ngwale
6. Paulo Mashambo
7. Kasanga Tumbo