Marmo akalia kiti cha moto...!

Shagiguku

JF-Expert Member
Jan 9, 2010
407
133
balozi wa tanzania nchini china, (malmo) yupo itv live hivi sasa akishambuliwa na wananzengo.

ktk kiti moto hicho imeonekana balozi anashambuliwa na vijana yeye pamoja na rais (ingawaje hayupo ktk eneo la tukio) lakini vijana wamekuwa wakiwasakama wazi wazi, hii inaonesha ni jinsi gani vijana wa leo wasivo na woga kuwasema viongozi wazi wazi
 
Huyu si ndiye yule aliyetaka kugawa mbuga za Wahadzabe kwa Mwarabu eti ni mwekezaji?
 
balozi wa tanzania nchini china, (malmo) yupo itv live hivi sasa akishambuliwa na wananzengo.

ktk kiti moto hicho imeonekana balozi anashambuliwa na vijana yeye pamoja na rais (ingawaje hayupo ktk eneo la tukio) lakini vijana wamekuwa wakiwasakama wazi wazi, hii inaonesha ni jinsi gani vijana wa leo wasivo na woga kuwasema viongozi wazi wazi

wengine hatuwajui wanazengo ni akina nani. tafadhali fafanua. na ni wapi hapo,
 
Mkuu mleta mada unaweza kuongeza nyama kidogo kwenye taarifa yako,maana siyo wote tuna access na ITV.Mfano wanaongelea nini?point anazoangushiwa ni zipi?
 
Anaitwa philipo Marmo..alikuwa mbunge wa mbulu na waziri wa nchi ofisi ya rais sera uratibu na bunge.. Aliangushwa katika jimbo la mbulu na Mustapha akonayi wa chadema mwaka 2010.. Mkuu akampa uwakilishi nchini china..
Kwa kweli wachina wanachakachua nchi hii na nadhani tunakoelekea watatumaliza..

:Wanahusika kwa kiasi kikubwa na meno ya tembo

:wanachukua magogo yetu na kutuletea samani zilizotengenezwa kwa unga unga wa mbao

:wanapenda kushirikiana na nchi ambazo hazina demokrasia kama urus, libya, sudani, Tanzania, Angola, Nigeria, Benini
africa ya kati na nk..

:wanapenda kushirikiana na nchi ambazo vyama vyao vya siasa vilivyo madarakani ni vile vilivyochokwa na wananchi kama ccm, Anc ya africa kusini..nk

:Msishangae hata ccm wanavyowapenda wa chini ni kwaajili ya kubaki madara..wachina watahakikisha wanafanya mbinu zote ili ccm wabaki kwa maslahi yao!

:watawadanganya kwa misaada midogo lakini wao wanachukua mali nyingi za dhamani kubwa..

:Tahadhari nchi yetu inatafunwa chukueni hatua..
 
marmo alikuwa anaeleza ni jinsi gani tunaweza kunufaika na mahusiano kati ya tanzania na china ila kwa kweli hoja zake zilikuwa kicommunist ili hali china ya sasa sio ya nyerere. vijana wamemvua nguo kwa maneno ya knazi kabsa hadi babu karopoka vijana msitumiwe kwani ndugu zenu.walioko china watateseka.
 
OK,nashukuru sana kwa ufafanuzi.
 
Kwa jinsi kiti kilivyokuwa cha moto ninaamini Marmo kapata picha ni kwa nini aliangushwa jimboni na WATANZANIA wa leo wakoje.,ni vizuri akawahadithie magambaz wenzake.Hata hivyo amejitahidi kuonyesha uungwana kutotaka kung'ang'ania hoja zake za pipeline ya gas ya Mtwara na bandari ya bagamoyo na pia kukubali kimtindo udhaifu wa mikataba kuwa siri kuliko gamba moja kijana potevu pekee lililotaka kujaribu kupishana na upepo kisaniisanii bila hoja za msingi bali tumbo lake.
 
balozi wa tanzania nchini china, (malmo) yupo itv live hivi sasa akishambuliwa na wananzengo.

ktk kiti moto hicho imeonekana balozi anashambuliwa na vijana yeye pamoja na rais (ingawaje hayupo ktk eneo la tukio) lakini vijana wamekuwa wakiwasakama wazi wazi, hii inaonesha ni jinsi gani vijana wa leo wasivo na woga kuwasema viongozi wazi wazi
Hao vijana hawajitaki? Kung!olewa kucha , meno na macho bila ganzi siyo mchezo
 
chadema wajiandae kupambana mwaka 2015 siyo tu na CCM bali na wachina wakiwa nyuma yao. inawezekana Trip ya China ya kina Nape na wenzake haya yote yalijadiliwa kila china inapozidisha uwekezaji Tanzania basi it is very likely kwa hili kutokea.
 
Anaitwa philipo Marmo..alikuwa mbunge wa mbulu na waziri wa nchi ofisi ya rais sera uratibu na bunge.. Aliangushwa katika jimbo la mbulu na Mustapha akonayi wa chadema mwaka 2010.. Mkuu akampa uwakilishi nchini china..
Kwa kweli wachina wanachakachua nchi hii na nadhani tunakoelekea watatumaliza..

:Wanahusika kwa kiasi kikubwa na meno ya tembo

:wanachukua magogo yetu na kutuletea samani zilizotengenezwa kwa unga unga wa mbao

:wanapenda kushirikiana na nchi ambazo hazina demokrasia kama urus, libya, sudani, Tanzania, Angola, Nigeria, Benini
africa ya kati na nk..

:wanapenda kushirikiana na nchi ambazo vyama vyao vya siasa vilivyo madarakani ni vile vilivyochokwa na wananchi kama ccm, Anc ya africa kusini..nk

:Msishangae hata ccm wanavyowapenda wa chini ni kwaajili ya kubaki madara..wachina watahakikisha wanafanya mbinu zote ili ccm wabaki kwa maslahi yao!

:watawadanganya kwa misaada midogo lakini wao wanachukua mali nyingi za dhamani kubwa..

:Tahadhari nchi yetu inatafunwa chukueni hatua..

Dunia ya leo wakubwa wanasaka rasilimali kwa hali na mali na sisi tunazo. Mazuzu wenye rasilimali wataendelea kuwa maskini na kuzigawa kijinga lakini walevu wenye rasilimali watazitumia kuliendesha taifa na watu wao. Botswana wameweza na wanasonga mbele.

Utailaumu vipi China wakati wao wanasisitiza win to win na siyo wanaoandaa sera na sheria zetu za uwekezaji na rasilimali?
 
Natumaini umeelewa alichokuwa anamaanisha pamoja na mapungufu yake kikubwa ni ujumbe, tutoke huko kwenye kusahihisha kizungu na kuangalia zaidi ujumbe. English is nothing but a foreign language to us. Ukifanya tathmini kuna nchi ambazo lugha ya kiingereza ni sawa na hakuna lakini wako mile kadhaa mbele ya sisi ambao tumekalia kufanya masahihisho na kushindana kuongea kiingereza.
Mkuu English inaelekea ni ugonjwa wa taifa
 
Back
Top Bottom