Kulikoni januari makamba juniour

Kulikoni januari makamba juniour

Karibuni masijala

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2012
Posts
409
Reaction score
135
Wanajamvi heshima na Adabu Kwenu,
Yule mtoto wa katibu mkuu Mstafu mzee Yusufu ambaye kabla hajaukwaa uheshimiwa Naibu Waziri alikuwa miongoni mwa Vijana waliokuwa wanautafuta Ukombozi wa pili ndani ya chama Tawala huku Mhe Zitto akitwanga kotekote mpaka wakaonekana kama Wabunge mapacha kwenye Maslahi ya Taifa.

Mnakumbuka Mhe. Ngeleja yamkini alimwima Usingizi kwenye masuala ya Nishati alivyokuwa anasema kweli Daima fitina ikiwa mwiko kwake. Na hata wanajimbo nasi tunamkumbuka alivyoleta mpango a maendeleo a jimbo lake kutatua changamoto za jimbo lake.
Bungeni hakuwa na Upande alisimamia kile alichoamoni mpaka media kama Mlimani TV na nyingine zikawa zinamtafuta huku wananchi wakafikia kumhusisha na Kijana anayeweza kupangishiwa Magogoni kwa vipingi vya miaka mitano mitano.

Hoja inakuja baadaya kuteuliwa Naibu waziri hasikiki tena akizitolea changamoto zinazokabili Taifa kwa mtazamo wa kizalendo au hata ule wa kusimama upande wa watawala kimya. Hebu tujiulize kulikon? Naye atuambie kulikoni Kijana Menzetu. Ambaye kwenye ccm ulionekana lulu kwao kwa ccm ya leo na hata ya Kesho wala watu hawakuona kama ni mbelekko nafasi uliyopata ya Ubunge hii ya Sasa Kulikoni? au Ulikuwa na malengo umeyafikia hivyo unachumia kivulini.
Nimekukumbuka baada ya kuibuka vijana kama Napee Shoza, Mteela na wengineo ambao kusema kweli sielewi kama wanayoongea kuna ushirikiano kati ya ubongo na kinywa au na vitendo vyao. Ni mtazamo.
 
Ni kweli jamaa siku hizi kapoa sana, lakini January hatabiriki ni kijana hodari sana kwa fitna kwa hilo kaiva. Ana uwezo wa kucheza na jukwaa sana.
 
Wanajamvi heshima na Adabu Kwenu,
Yule mtoto wa katibu mkuu Mstafu mzee Yusufu ambaye kabla hajaukwaa uheshimiwa Naibu Waziri alikuwa miongoni mwa Vijana waliokuwa wanautafuta Ukombozi wa pili ndani ya chama Tawala huku Mhe Zitto akitwanga kotekote mpaka wakaonekana kama Wabunge mapacha kwenye Maslahi ya Taifa.

Mnakumbuka Mhe. Ngeleja yamkini alimwima Usingizi kwenye masuala ya Nishati alivyokuwa anasema kweli Daima fitina ikiwa mwiko kwake. Na hata wanajimbo nasi tunamkumbuka alivyoleta mpango a maendeleo a jimbo lake kutatua changamoto za jimbo lake.
Bungeni hakuwa na Upande alisimamia kile alichoamoni mpaka media kama Mlimani TV na nyingine zikawa zinamtafuta huku wananchi wakafikia kumhusisha na Kijana anayeweza kupangishiwa Magogoni kwa vipingi vya miaka mitano mitano.

Hoja inakuja baadaya kuteuliwa Naibu waziri hasikiki tena akizitolea changamoto zinazokabili Taifa kwa mtazamo wa kizalendo au hata ule wa kusimama upande wa watawala kimya. Hebu tujiulize kulikon? Naye atuambie kulikoni Kijana Menzetu. Ambaye kwenye ccm ulionekana lulu kwao kwa ccm ya leo na hata ya Kesho wala watu hawakuona kama ni mbelekko nafasi uliyopata ya Ubunge hii ya Sasa Kulikoni? au Ulikuwa na malengo umeyafikia hivyo unachumia kivulini.
Nimekukumbuka baada ya kuibuka vijana kama Napee Shoza, Mteela na wengineo ambao kusema kweli sielewi kama wanayoongea kuna ushirikiano kati ya ubongo na kinywa au na vitendo vyao. Ni mtazamo.

Kila mwezi kimya kimya na safari za Finland. Hataki kuwajulisha maana mta mpa jina la kusafiri sana kama BOSS wake.
 
Ni mwanasiasa mwenye tamaa nyingi ambazo ni hatari..mistari yake imeisha na ndo kaisha kisiasa ivyo.
 
Anaweza akawa anaogopa kupewa daftari na data zake kuingizwa.
 
Januari makamba nimekutana naye new york wiki iliyopita
 
alikuwa anatafuta cheo ameshakipata sasa unatengemea nini hasa...........power monger huyo
 
Wajameni,mwenzetu ashachukua vipande vyake vya dhahabu kilichobaki ni kutulia kula nchi na kuchanga karata zake kwa ustad kimyakimya kusudi tusimwone tukamwandama kama Mulugo na bestie kwani naye karithi kwa hila na ghilba ndo mwenyewe.
 
Back
Top Bottom