Nini sababu za Mke wa Rais kuingia katika Siasa?

Status
Not open for further replies.

Magimbi

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2011
Posts
1,434
Reaction score
1,215
Salaam wana Janvi.. Ni kama swali lakini lenye utangulizi mdogo wa nini sababu za mke wa Rais kuamua kujiunga na siasa za ushindani. Nadhani kama sina kumbukumbu nzuri anaweza akawa mke wa kwanza (Naomba mnirekebishe wenye kumbukumbu sahihi) kuingia katika siasa na kupata uwakilishi wa ngazi alionayo sasa. Kwa kuanzisha mada mojawapo ya sababu inawezekana ikawa ni umri unamruhusu kurudi kazini baada ya Mzee kustaafu ivyo ikawa kama kurudi nyuma kimaendeleo, au kupata Ubunge ili aweze kuwa na ajira mpya, na mengine mengi mnaweza kujazia wadau
 
Ni haki yake kikatiba so hakuna kilichoharibika

Sina hakika kama katiba ilikuwa consulted kama ya kufikia haya maamuzi. Lakini hata kama katiba yetu iliyopitwa na wakati ina mwanya huo mbovu sidhani kama ni sahihi kwa first lady kuwa mwanasiasa. Kwa mawazo yangu nadhani ni busara first lady abaki kuwa first lady. Huyu wa sasa c first lady tena kwangu maana ananichanganya kweli mpaka najiuliza hivi nini alichokosa mpaka kujichafua kiasi hicho. Actually nikipata taarifa kwamba wife ameenda kwenye mkutano unaohutubiwa na first lady huyu wa sasa, akirudi atakutana na talaka inamsubiri.
 
Kila raia ana haki ya kikatiba ya kisiasa isipokuwa wanaozuiwa na sheria kama vyombo vya ulinzi na usalama.Hata nchi zilizoendelea hayo yapo kwani Clinton alipostaafu uraisi HILARY mke wake alishika nafasi ya juu kisiasa
 
Ukiwa kiongozi usiye na busara, basi hata familia yako nayo hufanya maamuzi ya kijinga. Hivi sasa viongozi wengi wa CCM wameona kuwa siasa ni mradi mzuri na ndio maana badala ya kuwasomesha watoto na kuwapa nafasi ya kutumia elimu zao kwa manufaa yao na ya nchi, wote wameamua kujiingiza huko kwenye sias hata kama wengine hawana sifa. Inasikitisha lakini ndio ukweli wenyewe.
 
Salaam wana Janvi.. Ni kama swali lakini lenye utangulizi mdogo wa nini sababu za mke wa Rais kuamua kujiunga na siasa za ushindani. Nadhani kama sina kumbukumbu nzuri anaweza akawa mke wa kwanza (Naomba mnirekebishe wenye kumbukumbu sahihi) kuingia katika siasa na kupata uwakilishi wa ngazi alionayo sasa. Kwa kuanzisha mada mojawapo ya sababu inawezekana ikawa ni umri unamruhusu kurudi kazini baada ya Mzee kustaafu ivyo ikawa kama kurudi nyuma kimaendeleo, au kupata Ubunge ili aweze kuwa na ajira mpya, na mengine mengi mnaweza kujazia wadau
anamuiga michele obama hahahaha
 
Kuna mandamano huko yanaratibiwa kwa siku ya jmatano kupinga kashfa kwa viongozi na kuwa ya kuwa TZ ni nchi ya rushwa !
 
Kwa karne hii ya sasa itakuwa ni jambo la kushangaza kuona Rais haongozani na mke wake "SLAA".
 
Kuna mandamano huko yanaratibiwa kwa siku ya jmatano kupinga kashfa kwa viongozi na kuwa ya kuwa TZ ni nchi ya rushwa !
Safi sana watu wamezidi kutukana viongozi, jambo ambalo wanalifanya kwa makusudi kurudisha nyuma jitihada za serikali kuwaletea wananchi maendeleo
 
Sina hakika kama katiba ilikuwa consulted kama ya kufikia haya maamuzi. Lakini hata kama katiba yetu iliyopitwa na wakati ina mwanya huo mbovu sidhani kama ni sahihi kwa first lady kuwa mwanasiasa. Kwa mawazo yangu nadhani ni busara first lady abaki kuwa first lady. Huyu wa sasa c first lady tena kwangu maana ananichanganya kweli mpaka najiuliza hivi nini alichokosa mpaka kujichafua kiasi hicho. Actually nikipata taarifa kwamba wife ameenda kwenye mkutano unaohutubiwa na first lady huyu wa sasa, akirudi atakutana na talaka inamsubiri.

Nikuulize swali,ingetokea baba le mutuz akashinda urais mwaka 2005 na mama kilango akashinda ubunge,je wangeachana?
 
Msimfananishe mwalimu wa upe na Michelle Obama
 
kutokana na ule mpango wa fursa sawa kwa wote (EOTF) ulioanza tangu awamu ya tatu, umepelekea uanzishwaji wa wanawake na maendeleo (WAMA) ili kuipa nguvu ile ajenda ya 50/50 kwa malengo ya kutimiza kauli mbiu 'wanawake wakiwezeshwa wanaweza'
 
M.B.W.A wanatumia rasilimali za taifa yaani kodi zetu? haki yake ndiyo sio kwa jasho letu

Wanatumia ruzuku ya CHADEMA ambayo ni pesa za walipa kodi. subiri nikuwekee links uone Mshumbuzi anavyotumbua ruzuku huko ISRAELI.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom