CHADEMA yaibwaga CCM kwa jumla ya kura uchaguzi wa madiwani

Hapo ndo atajua CCM inapanda au imekwisha, chukulia hizo kura angekuwa anapigiwa ni Rais Dr. wa ukweli angekuwa ametinga Ikulu
 
This is what I was waiting for, kazi nzuri sana, Tanzania siyo Afrika Kusini ambapo wanachagua Rais kupitia Bunge, tunahitaji Rais wa upinzani hata kama hatakuwa na majority bungeni au Serikali za mitaa. Salamu maalamu kwa Nape
 
Mkuu safi sana umetuwekea statistics nape ni vuvuzela tuu.
Msiwe wepesi wa kudanganyika. Hizo ni kata ngapi? Kumbukeni uchaguzi ulifanyika kwenye kata 29. Sasa huo ushindi wa kura za jumla za CHADEMA upo wapi. tukusanye matokeo yote ya nchi nzima, ndipo tushangilie.
 
Takwimu hizi ni muhimu sana ebu tafadhali tupe za kata zote 29 epukana na uvuvuzela wa Nepi.
 
Poa kata zote ndo nakamilisha yatakuja, kwa kumbukumbu zangu Malangali Ludewa mlipigwa gap kubwa , subirini yanakuja muda si mrefu
 
Hapo ndo utaona Nape akificha ugonjwa wa magamba kwa kura za wizi na kuhonga makande.
 
Hizi takwimu zina walakin kidogo. Kata ya Ipole - Sikonge imechukuliwa na CDM lakin hizo figure za jnuswe zinaonyesha kuwa CCM ilipata kura nyingi (CCM kura 577, CDM kura 373)! WHY??
 
nimefurahia sana takwimu hizi lakini hebu tuwekee za kata zote hata kama zitaniumiza mimi mwana chadema..
 
Msiwe wepesi wa kudanganyika. Hizo ni kata ngapi? Kumbukeni uchaguzi ulifanyika kwenye kata 29. Sasa huo ushindi wa kura za jumla za CHADEMA upo wapi. tukusanye matokeo yote ya nchi nzima, ndipo tushangilie.



Nimefurahije.................!! mpaka nahisi kama vile nimekubaliwa kupe............. K. safi sana mtafiti nahisi nitakuweka ndani ya timu yangu. Kuhusu huyo vuvuzela hapo juu kwenye RED we Mwaaaaaaaacheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.
 
Duh kweli CCM noma, huku sikonge si ndipo Slaa alipiga kambi kabisa na kutangaza sera kwa mbwembwe bado cdm wameshidwa, hii ni aibu ya cdm na aibu kwa slaa, zama za kuwadanganya watu zimekwisha
 
na hapo usisahau kuwa tunatumia majina ya wapiga kura walioandikishwa mwaka 2009 tu ukija kuongeza jeshi la wapiga kula la mwaka 2010, 2011, 2013 na 2014 ambao wameshatimiza au watatimiza umri miaka 18 wa kupiga kura sipati picha jinsi CCM itakavyobwaga chini. Maana vinana wamekula yamini ya kuipatia ushindi Chadema.
 
Inaonyesha ile mikoa ambayo siku zote wanalalama Mungu na serekali imewapa kisogo ndio hao hao wanawapa Magamba kura Nyingi!!
My Take: Kama kwenye hizi Chaguzi kulikuwa Hakuna uchakachuaji kinachohitajika ni elimu ya Uraia zaidi na ile sera ya "Kula kwa Gamba" "kura kwa Gwanda"
 
bravo! CDM.., CCM hawafanyi analysis ya kitaalamu, wanaishia kujivunia idadi ya madiwani 24 tu badala ya idadi ya kura. na kukompute percentage, kujua status yao, wakumbuke CDM ni chama kinachojijenga hakina resouces za kutosha na mtandao mkubwa kama TANU-CCM, ukizingatia kwamba harakati zao za kujitanua zinazuiwa na vyombo vya dola
 
Tukisema mnatukasirikia! Hivi hizi takwimu zimeisadia CHADEMA kupata kata zaidi ya tano walizopata!? Mantiki na maudhui ya kuziweka hizi takwimu ni nini hasa?
 
[/COLOR]


Nimefurahije.................!! mpaka nahisi kama vile nimekubaliwa kupe............. K. safi sana mtafiti nahisi nitakuweka ndani ya timu yangu. Kuhusu huyo vuvuzela hapo juu kwenye RED we Mwaaaaaaaacheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.
Tatizo JF ina watu mchanganyiko sana, wamo na watoto wadogo wasiokuwa na uwezo wa kuchambua mambo. Sasa wewe unafurahia nini matokeo ya kata tisa kati ya 29? Na kati ya hizo tisa, CHADEMA wameshinda nne, hivi ulitegemea tofauti ya kura iweje? Haya si matokeo ya kuwafanya watu wazima wenye akili timamu kuanza kuyashangilia. Kikubwa tuangalia tulipoanguaka tukarekebishe na si kuanza kujifariji na takwimu zisizo na maana hizi. Mnataka kumhadaa nani?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom