Rushwa ya Ngono Iundiwe Tume

Rushwa ya Ngono Iundiwe Tume

Pascal Ndege

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2012
Posts
2,977
Reaction score
1,900
Katika hali isiyo ya kawaida wanawake kwa miaka mingi sasa wamekuwa wakilazimika kutoa rushwa ya ngono ilikupata haki yao au upendeleo fulani na wengine wakiambukizwa ukimwi na magonjwa ya zinaa huu ukatili dhidi ya wanawake.

bila kuwepo chombo kikubwa kabisa cha kuthibiti hali hii kama ilivyo PCBC, na chombo hiki kisimamie rushwa ya ngono pekee, basi mapamabano dhidi ya ugonnjwa wa ukimwi ni kama kutwanga maji kwenye kinu,
 
Napendekeza hii tume ya kuchunguza rushwa ya ngono nayo baadae iundiwe tume
 
Napendekeza hii tume ya kuchunguza rushwa ya ngono nayo baadae iundiwe tume

Na hiyo tume iundiwe kamati itakayokua chini ya bodi maalum ambayo inasimamiwa na taasis tofaut na takukuru
 
katika hali isiyo ya kawaida wanawake kwa miaka mingi sasa wamekuwa wakilazimika kutoa rushwa ya ngono ilikupata haki yao au upendeleo fulani na wengine wakiambukizwa ukimwi na magonjwa ya zinaa huu ukatili dhidi ya wanawake.

Bila kuwepo chombo kikubwa kabisa cha kuthibiti hali hii kama ilivyo pcbc, na chombo hiki kisimamie rushwa ya ngono pekee, basi mapamabano dhidi ya ugonnjwa wa ukimwi ni kama kutwanga maji kwenye kinu,
ndugu yangu rushwa ya ngono ni makubaliano baina ya watu wawili na huwa hawafanyi hilo tendo hadharani bali faragha sasa hata kama pccb ikapewa meno vp kama wote walifurahia tendo humkamati mtu kimsingi rushwa ya ngono aise kuidhibiti labda muombwa akatae lakini akionyesha kukubali hamna kitu hapo.
 
Back
Top Bottom