Ndugu wana jf nawaomba sana tuwaelimishe wananchi umuhimu wa kuwachagua wajumbe wenye kuweza kuichambua rasimu ya katiba kwa maslahi ya vizazi vijavyo siyo ilimradi kuchagua mtu eti kwa kuwa ni rafiki yako.
Wanaochagua ni wananchi au wajumbe wa kamati tendaji ya kijiji? Maana sidhani hata tukiwaelimisha wananchi wakati hawahusiki kwenye uchaguzi kama itasaidia
Ni kituko,wajumbe wa baraza la katiba kata wanachaguliwa toka kila kijiji kisha kamati ya maendeleo ya kata inachagua wanne miongoni mwao kuwakilisha wilayani,huu si mwanya wa ccm kuweka watu wao watakaolinda maslahi yao?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.