Swali: Hivi itakuwaje? Chadema 2015 ikashindwa ikashinda CCM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Swali: Hivi itakuwaje? Chadema 2015 ikashindwa ikashinda CCM

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Karibuni masijala, Oct 26, 2012.

 1. K

  Karibuni masijala JF-Expert Member

  #1
  Oct 26, 2012
  Joined: Sep 13, 2012
  Messages: 409
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wanajamvi ni muhimu kutazama Tanzania yetu miaka ming ijayo na kutoa maoni ushauri juu ya changamoto zitakazokabili Taifa. Kwani huwezi kuiandaa kesho yako kesho bali unaweza kuiandaa leo itakavyo kuwa.

  Tanzania kwa sasa chama cha CHADEMA Kinainyima CCM Uwezokano wa kupanga tena magogoni mkataba utakapoisha octoba 2015.
  Tumejadili sana anguko la ccm na pia tumejadili pia Uwezekano wa watanzania kuwapangishia CHADEMA Magogoni yetu (Ikulu).
  Je itakuwaje chadema kikashindwa Uchaguzi huo kwasababu za mfumo yani tume au nguvu ya dogla kuingilia kati au muda huo kikakosa ridhaa ya Watanzania. Hivyo ccm ikaendelea kupanga magogoni.

  Kuwa huru kujibu zingatia sheria za jukwaa
   
 2. C

  Concrete JF-Expert Member

  #2
  Oct 27, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 3,607
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Lazima patachimbika.

  Ni wakati muafaka kwa CCM na serikali yake kuanza kujiandaa mapema kukabidhi madaraka kwa umma wa watanzania ambao kwa sasa unaongozwa na CHADEMA.
   
 3. Mtanzania1

  Mtanzania1 JF-Expert Member

  #3
  Oct 27, 2012
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 1,169
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  ......kwahiyo unashauri vyama vingine kama CUF,TLP,UDP na vinginevyo visiingie kwenye uchaguzi?..
   
 4. mathcom

  mathcom JF-Expert Member

  #4
  Oct 27, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 1,402
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Kama CDM haitapata ridhaa wa watanzania, haina budi kukiacha chama kitakachoshinda kuendelea koungoza umma, huku kikiweka mikakati ya kutanua wigo wake vizuri kwa ajili ya 2020! kama kinashindwa kwa sababu ya ubadhirifu wowote wa kura au vitisho mangineyo basi sheria itabidi ifuatwe katika kuleta haki ya wapiga kura!
   
 5. C

  Concrete JF-Expert Member

  #5
  Oct 27, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 3,607
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Hivyo vyote ni matawi ya CCM
   
 6. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #6
  Oct 27, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Karibuni masijala

  Pole sana kwa hali inayoonyesha dhahiri ya kwamba unatumika,ni kwmb narudia tena kukuambia pole sana [size 8]MTUMWA[/color] kama wewe mkosa dira zaidi ya kuyumbishwa na mafisadi!

  Kawaambia ya kwamba kule ulikotumwa member wapo macho na hata wamepitiliza haki!

  Pole sana rafikie
  zomba

  Ritz

  Rejao

  Shughuli itakuwa pevu!
   
 7. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #7
  Oct 27, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  ccm inauwezo wa kushinda uchaguzi 2015 inategemea ni nani watakayemsimamisha agombanie ni sawa sawa na chadema wanaweza shindwa vibaya uchaguzi inategemea na nani watakayemsimamisha awe mgombea wao
   
 8. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #8
  Oct 27, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Kwa vp? Kwani ufunguo wa magogoni Hao majmbazi wameweka wapi? CHADEMA itaingia bila vkwazo.
   
 9. kibogo

  kibogo JF-Expert Member

  #9
  Oct 27, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 9,477
  Likes Received: 784
  Trophy Points: 280
  Hapo kwenye RED kuna sheria gani inayompa haki mpiga kura? Tumeshuhudia 2010 jinsi ilivyokuwa na tume pekee kujichukulia jukumu la kutangaza matokeo baada ya kuona hali ya mgombea wa CCM JK ilikuwa mbaya je kuna hali yeyote ilidaiwa na wapiga kura? na matokeo yale ndiyo yanayoisurubu CCM hadi sasa.
   
 10. mathcom

  mathcom JF-Expert Member

  #10
  Oct 27, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 1,402
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Inabidi tuamini hivyo ingawa kwakweli mbali na kwenye visanduku basi haki haipatikani! Tuombeni mema tu ili nchi ipate mabadiliko ya kweli maana kwa sasa hali inatisha!
   
 11. H

  Hydrobenga JF-Expert Member

  #11
  Oct 27, 2012
  Joined: Jun 24, 2012
  Messages: 1,124
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  CHADEMA Itashindwa kwa ushindi wa kishindo 2015
   
 12. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #12
  Oct 27, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,093
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Tuingie mitaani na kufanya nchi isitawalike. CCM kushinda ni sawa na kumfufua maiti. Kama watanzania wataendelea na ukondoo huu wasinilaumu kuwa sikuwapa ushauri kama baba yao.
   
 13. Butho Mtenzi

  Butho Mtenzi JF-Expert Member

  #13
  Oct 27, 2012
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 328
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  ni kukubaliana na matokeo tuu! Sio kwa Chadema tuu hali kadharika ccm nao wakishndwa ni kukubali matokeo
   
 14. K

  Karibuni masijala JF-Expert Member

  #14
  Oct 27, 2012
  Joined: Sep 13, 2012
  Messages: 409
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Yani kama ulikuwa kwenye mawazo yangu niliyaacha ili uchangie
   
 15. Mkereketwa_Huyu

  Mkereketwa_Huyu JF-Expert Member

  #15
  Oct 27, 2012
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 5,115
  Likes Received: 1,205
  Trophy Points: 280
  Kama itashinda CCM nahamia Kenya, siwezi na sitaki tena kutawaliwa na CCM kwa miaka 50 mingine pasipo maendeleo.
   
 16. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #16
  Oct 27, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  wewe kama miye ingawa bado sijaamua nihamie nchi gani, huenda nikarudi kwa mababu zangu zambia au kwa mabibi mozambique
   
 17. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #17
  Oct 27, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160

  LiverpoolFC,
  Nimekuwa nje ya hili jukwaa kwa kipindi kirefu. Kwa kipindi chote nimeona kuwa jukwaa la siasa ni kama vile limepoteza mwelekeo. Most ya mambo yanayojadiliwa humu ni mambo yasiyo na msingi kama hii thread inavyojionyesha. Ngoja nipite tu hapa cuz sioni cha kuachangia.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. adakiss23

  adakiss23 JF-Expert Member

  #18
  Oct 27, 2012
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 3,346
  Likes Received: 655
  Trophy Points: 280
  Itakuwa poa. Nadhani itasaidia chama kama TADEA au JAHAZI ASILIA kupata airtym katika magazeti tv redio daladala maofisini n vikao vya kahawa.

  Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
   
 19. Mtanzania1

  Mtanzania1 JF-Expert Member

  #19
  Oct 27, 2012
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 1,169
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  Mheshiwa,
  Umesema jambo la maana sana....watu wengi watakubaliana nami kama uchaguzi tukifanya leo basi kuna uwezekano mkubwa cdm kushinda....sababu ni umoja walio nao dhidi ya utengano na tuhuma za ufisadi za ccm. Lakini kadri tunavyosonga mbele ndiyo mbegu yetu ya udini inazidi kukomaa.....na hii inaweza kubadilisha matokeo ya uchaguzi kwa urahisi sana kutegemea dini ya mgombea.....
  "Kushinda uchaguzi ni mbinu tu" - JK
   
 20. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #20
  Oct 27, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Kha ha ha ha ha ha ha ha ha haaaa!!

  NA BADO,UTAKUWA OFF KABISA


   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...