Katiba mpya itafanikiwa?

mpemba mbishi

JF-Expert Member
Nov 27, 2011
1,132
185
kwa hali inavyoonesha mchakato wa katiba mpya huenda usifanikiwe kutokana na baadhi ya watu kutuhumiwa kuuingilia kati kinyume na utaratibu uliowekwa na tume ya mabadiliko ya katiba
 
Kwani wewe ni miaongoni mwa wale wanaokuwa deceived na smiles?
 
Back
Top Bottom