Baada ya rufaa, Mahakama yaamuru DOWANS kulipwa fidia na TANESCO bilioni 96 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Baada ya rufaa, Mahakama yaamuru DOWANS kulipwa fidia na TANESCO bilioni 96

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by EMT, Feb 7, 2013.

 1. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #1
  Feb 7, 2013
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Tanesco has been forced to pay 30 million US dollars (about Sh 48 billion) as security to safeguard its case pending before the Court of Appeal, challenging payment of 65,812,630 US dollars (about Sh105 billion) to two Dowans Companies.

  Court documents obtained show that such security was deposited before the High Court of Justice Queens Bench, Commercial Division at the Royal Court of Justice in London in two installments to prevent Dowans Companies to execute an award for the highly contested payments.

  Before depositing the amount, two Dowans Companies, Dowans Holdings (Costa Rica) and Dowans Tanzania Limited, through their advocate, Mr Kenneth Fungamtama, had applied at the London Court to execute the award in question after Tanesco lost its case in the High Court of Tanzania in 2011.

  Proceedings before the Court of Appeal indicate that two applications have been filed by both Tanesco and Dowans Companies following a decision given on September 28, 2011, by Tanzanian High Court Judge Emilian Mushi. The Court of Appeal is set to hear the two applications next Friday.

  Judge Mushi, in his ruling, rejected the petition by the country's giant electricity supply company, challenging the award given by the International Chamber of Commerce Arbitration (ICCA) in favour of Dowans Companies following a dispute involving generation of electricity in Tanzania.

  In its application, Tanesco is asking judges on appeal to stay the execution of the order for the payment to Dowans Companies, pending hearing and determination of their appeal case on the matter. Already Tanesco has instructed four senior advocates, including two professors, to argue the application.

  A senior official with Tanesco, Mr Godwin Ngwilimi, has sworn an affidavit to support the application, stating that having obtained judgment and decree in their favour, the two Dowans Companies filed an application for execution before the London High Court.

  "If execution will be allowed to proceed, the applicant (Tanesco)'s ability to generate, transmit and distribute the much needed electricity to the public will be adversely affected, causing a serious power crisis and damage to the Tanzanian economy," he stated.

  According to him, the damages arising from the power crisis would be substantial and irreparable and not capable of being compensated by any award of damages. He stated that the amount involved in execution was colossal and may not be recovered from Dowans Companies if the appeal case succeeds.

  But in their application, the two Dowans Companies, Dowans Holdings (Costa Rica) and Dowans Tanzania Limited, are asking the judges of the Appeals Court, the highest temple of justice in the country, to 'strike out' the Notice of Appeal filed on October 4, 2011, by Tanesco.

  Advocate Fungamtama stated in his affidavit to support the application that when the judgment of the High Court was delivered on September 28, 2011, in accordance with the ICCA Award, a copy thereof was ready for collection on the same day, as it was already typed and signed by the judge.

  He stated that on the same day a decree was extracted from the judgment, but since then "no action has been taken in lodging the appeal, subsequent to any other acts necessary to further progress of the intended appeal and more than 60 days have been passed since the decree was extracted."

  allAfrica.com: Tanzania: Tanesco Deposits Sh48 Billion to Secure Dowans Case Appeal
  [h=1][/h]
   
 2. ntagunga

  ntagunga JF-Expert Member

  #2
  Feb 7, 2013
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 507
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 45
  soka la ufisadi litaanza upya muda si mrefu. tulikuwa tumepumzika soka hilo sasa limerejea
   
 3. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #3
  Feb 7, 2013
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Mawakili hawataki iishe hii kesi wanakula. Eti wanazuwia wasilipe 105b kwa ku deposit 48b halafu wanasema wakizilipa zitaleta matatizo makubwa sana. Hivi wana akili sawa hawa?
   
 4. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #4
  Feb 7, 2013
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,565
  Likes Received: 1,649
  Trophy Points: 280
  Sasa tukishindwa hizo 30 zinaenda bure au zitakuwa part ya malipo ya deni.
   
 5. S

  S.M.P2503 JF-Expert Member

  #5
  Feb 7, 2013
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 463
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  The high court in London is more than like to order (more likely by consent Order as this is not criminal matters) that Tanesco fulfil its financial obligations (award to Dowans) by instalment over a prolonged period of time.

  This will be possible if and only if TANESCO comes up with this silly , cheap, stupid and ill advised excuse that the award it will incurwould be substantial and irreparable and DOWANS are incapable of being compensated.

  The only thing TANESCO could and should do right now is to declare itself bankruptsy or insolvent . There will be no more payments to Dowans.
   
 6. S

  S.M.P2503 JF-Expert Member

  #6
  Feb 7, 2013
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 463
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  zitakuwa sehemu tu ya malipo baada ya deductions za mahakama ya London, mawakili wa dowans na gharama nyingine za washauri wa mahakama na wale wote wote waliohusika katika kesi kuondoa mawakili wa Tanesco..
   
 7. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #7
  Feb 7, 2013
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,090
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  Kuna watu wanakosa uzalendo kwa kiwango cha kushangaza. Inaudhi sana! Si kama hawana akili, wanakosa uzalendo tu.
   
 8. S

  S.M.P2503 JF-Expert Member

  #8
  Feb 7, 2013
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 463
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Invisible hivi unafikiri hii kesi imefikishwa hapa London huo uzalendo utatokea wapi.. hapa nilegal arguments tu na sioi ni kwa jinsi gani high court in London itakuwa na uzalendo zaidi ya akina Fungamtama au mahakama yetu wenyewe huko Tanzania iliyoamua Dowans walipwe...

  Kwa kuwa Tanzania ni sovereign basi ni wazi kwamba high court ya hapa itawauliza tu Tanesco..mnasema hamna fedha au hamuwezi kulipa.. je uweoz wenu ni kiasi gani... TAnesco watajikongoja na kusema labda $1,000,000 kwa mwezi.. basi mahakama inasema by consent tanesco lipa kiwango hicho kwa miaka kadhaa na ongeza Riba mpaka deni liishe.. kesi inamalizwa... wasipolipa.. Dowans wanakuja tena kuomba enforcement actions
   
 9. S

  Santo JF-Expert Member

  #9
  Feb 7, 2013
  Joined: Dec 13, 2011
  Messages: 499
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Ingekuwa nisingelipa hata mia liwalo na liwe
   
 10. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #10
  Feb 7, 2013
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  105b ongeza na gharama za mawakili itafika 150b, ongeza na fidia kila unapochelewa itafika 200b na mwisho wa siku, Dowans wameshacheza karata yao swaafi, wanakula commission tartiiiiibu kutpka Symbion na Mama Clinton kaja kuibariki, kuna aliyenyua mdomo wake toka Mama Clinton alivypenda Ubungo? Thubutu. Si Mzee Mwanakijiji wala Kijana Mwanamji na wao ndio walikuwa wakishabikia ujinga.

  Tulisema zamani hapa. Wanunue tu hiyo mitambo kama walivyopewa ofa, watu wakatuona sisi tuliounga mkono hilo pamoja na Zitto na Rashid ni wajinga. Nauliza kiko wapi?

  Hakuna nchi duniani itakayocheza na biashara za kimataifa, hususan inayohusisha bidhaa za Kimerekani. Watu hawaijui maana ya New World Order. Kesi ya nyani unaipeleka kwa ngedere?

  You're either with us or you are against us!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. nash2010

  nash2010 JF-Expert Member

  #11
  Feb 7, 2013
  Joined: Jun 18, 2010
  Messages: 631
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 45
  now that the crooks are the same ones who are supposed to be enforcing the laws. stealing has been made legal.
   
 12. F

  FJM JF-Expert Member

  #12
  Feb 7, 2013
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Hao wanasheria wanaiwakilisha TANESCO/Serikali ni nani?
   
 13. o

  owomuka Member

  #13
  Feb 7, 2013
  Joined: Jan 16, 2013
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  We, TZs nafikiri tuna laana kweli.DOWANS n RICHMOND kwanini tunayumishwa.Hivi kweli watu hawana uchungu na nchi yao.

  Wanasheria, Wanasiasa,Viongozi wa serikali kila kukicha mnavumbua nchi ili muendelee kutafuna nchi mkidai kuwa nchi hii ina utawala bora.Mtiririko wa matukio:

  Kamati za Mwakyembe na Sita mlidai Mitambo ya Richmond ni feki isinunuliwe iondolewe nchini kabisa na walioileta na walioidhinisha zabuni washitakiwe na wawajibishwe. Kuona zengwe hilo Lowasa akajihudhuru na baadae mhusika wa kubumba alifikishwa mahakamani,na kesi inaendelea.

  Kwa kuwa nchi iliikuwa wanasema inaingia gizani tororo,Kamati ya Zitto ilipendekeza bunge liombe kibali kwa Rais atengue sheria ya ununuzi inayokaza ununuzi wa serikali wa mitambo chakavu ili second hand Richmond inunuliwe. Mwakyembe alipiga yowe mpango huo ulisitishwa.

  RICHMOND ikamzaa DOWANS.Kutokana na vipengele vya sheria Dowans alilisi madeni yote ya Richmond ambayo sasa yanatupa mzigo kuyalipa.Mtambo huo ambao Mwakyembe na Sita waliukataa walishindwa kuufukuza nchini na sasa DOWANS inafua umeme na kutuuzia umeme kwa bei wapendao.HIVI DOWANS ni nani na ananguvu gani ?

  Hivi sisi twaelekea wapi?Tulivyo wapumbavu Bush alimtuma Mama Clinton kuja kuufungua na kubonyeza kitufe kiliashiria kuwa umeme unaihgizwa kwenye Grid ya taifa-TZ.Kama bado mtambo huu haukuondoka na sasa tuna biashara nao kesi ya nini?Inavyoonekana aidha Mwakyembe na Sita mmetuingiza mkenge ili mlete mtafaruku nchini na watu wachukie taifa lao.

  Kwanini Rais asitaifishe mtambo huo ili biashara tufunge.Kutokana na hayo kama Sita hamkuwa na roho mbaya kwanini mtambo huo usingeliondolewa nje ya mipaka ya nchi hii.Hayo magharama tuyomlipa situnge maliza matatizo yanayotukabili ya kiuchumi.Kweli tutafika lakni tutakuwa tumechoka zaidi.

  Huu ujaja wa kutumia pesa kwa Dowans haukubaliki. KIKWETE usikubali kutumika
   
 14. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #14
  Feb 8, 2013
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Bado hapo hujaweka interests.
   
 15. F

  FUSO JF-Expert Member

  #15
  Feb 8, 2013
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 11,809
  Likes Received: 2,293
  Trophy Points: 280
  kwenye kesi TANESCO wanajisumbua tu; mtaniambia mwisho wa siku. Hili deni lishakuwa zigo letu watanzania.
   
 16. T

  Testimony Senior Member

  #16
  Feb 8, 2013
  Joined: Aug 3, 2011
  Messages: 112
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Godwin Ngwilimi mwanasheria mkuu wa Tanesco. Huyuhuyu alikuwa mwanasheria mkuu wa Vodacom. Vodacom inamilikiwa na Rostam Aziz. Richmond inamilikiwa na Rostam Aziz. Richmond ilinunuliwa na Dowans...ambayo nayo inamilikiwa na Rostam Aziz. Godwin Ngwilimi leo yuko Tanesco kuhakikisha nini? deni la Dowans linalipwa na wana mtu wao kwenye jiko. Labda kwa vile sisi ni Watanzania ndio maana tunaona kuna kesi kati ya Tanesco na Dowans...!!!
   
 17. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #17
  Feb 8, 2013
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,209
  Likes Received: 414,657
  Trophy Points: 280
  S.M.P2503 kaitk ayote tumshukuru Mungu kwa kutadhibu kwa kifo kisingekuwepo kifo tungeumizana sana....................lakini kifo ndiyo the greatest equalizer.....................aliyekula jana na alikyekual aleo na takayekula kesho wote hawajala njaa yawauma.........
   
 18. f

  frank cain JF-Expert Member

  #18
  Feb 8, 2013
  Joined: Dec 17, 2012
  Messages: 470
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  usalama wataifa unazidi kuwa hatarini.
   
 19. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #19
  Feb 8, 2013
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Huo niliokuwekea nyekundu ni uongo wa dhahiri shahiri, tuwekee ushahidi kama unasema kweli.

  Vodacom, Rostam Aziz ni shareholder mwenye hisa kidogo tu kwenye kampuni na si mmiliki kama unavyotaka ieleweke, ushahidi:

  Vodacom Tanzania is a subsidiary company of Vodacom Group (Pty) Limited, South Africa which is also a subsidiary of Vodafone Group UK. Vodacom Group (Pty) Limited owns a majority share portion of 65%, the remaining 35% is owned by Tanzanian shareholder, one Mirambo ltd.
  Source:Who we are
   
 20. T

  Testimony Senior Member

  #20
  Feb 8, 2013
  Joined: Aug 3, 2011
  Messages: 112
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0

  Zomba! Zomba! Zomba! Unataka ushahidi? unadhani hili halijulikani au ndo zile za funika kombe mwanaharamu apite? we subiri tu. baada ya CCM kutoka madarakani ushahidi wote utaonekana. Uzuri ni kuwa si muda mrefu kutokea sasa CCM haitokuwa madarakani na haya yote yatatoka. na hapo ndo utauliza nani alikuwa mwongo, aliyecheka alfajiri au aliyecheka mwisho!

  kwani umiliki wa kampuni unauelewaje?
   
Loading...