Kwa maoni yangu hili suala la kuchinja linaendelea kuchukuliwa kimchezo... serikali ilitoa matamko hapo awali kupitia Waziri Wasira kuwa wenye haki ya kuchinja ni waislamu... tumeona yaliyofuata, baadaye Waziri Mkuu alisema kuwa tuendelee na utaratibu uliokuwepo wakati ufumbuzi ukiendelea kutafutwa.
Ni wazi hadi sasa ufumbuzi haujapatikana, na suala la udini linachukua kasi ingawa sasa ipo chini ya mwavuli haki ya kuchinja.. baadaye litahamia kipengele kingine, na kingine, ni wazi matokeo yake hayatakuwa mazuri.
Kwa maoni yangu serikali inapaswa kutoa tamko lenye mashiko, kwa mfano mtu asiingilie imani ya mwenzake katika suala linalohusu dini bila kuvunja sheria ya nchi kama ilivyoeleza katiba ya Tz, atakayekiuka achukuliwe hatua kali, na kweli hatua kali zichukuliwe.. sio kuchukulia mzaha mzaha matokeo yake tutafika huku, ona hii Fight between Muslim, Christian children escalates in Gujranwala | Geo Pakistan - geo.tv