Lazima niende Nairobi, ya Moshono nitatoe pole nikirudi - Godbless Lema

Meitinyiku L. Robinson

JF-Expert Member
Aug 29, 2011
412
90
Katika hali isiyo ya kawaida wakazi wa Moshono wameshangazwa na kauli zinazoendelea katika Kata ya Moshono wakati taratibu za maziko ya Vijana waliofukiwa na Ngema ikiendelea. Kumekuwako na viongozi wengi kutoka Serikalini na wengine wa Vyama hasa CCM. Ila watu wameshangaa kutomwona Mbunge wao akishiriki katika tukio hili ambalo ni kubwa kutokea hapa Arusha hasa katika Jimbo analoliongoza huyu Bwana.

Swala hili lilipelekea watu wengi kujiuliza kulikoni hata Kiongozi huyu Asitokee katika tukio hili hapa Mkoani. Katika mazungumzo kada mmoja wa CHADEMA alisikika akisema huyu jamaa ameshajichokea manake alisema kuwa Moshono wamsubiri manake kwake la Mawala ni kubwa hivyo hana budi kwenda Nairobi na kama haitoshi alishajigolea vya kutosha toka tukio litokee.

Watu wakajaribu pamoja na hayo yote alikosa hata mtu wa kumwakikisha???? Awe kiongozi wao Chama ama mtu mwingine yeyote??? Hakuna jibu lililoweza kupatikana zaidi ya kila mtu wakiwemo wa CHADEMA kuonekana kumwonea huruma huyu bwana hasa ikionekana kuwa kama si ameshakata tamaa basi pupa zinampeleka pabaya.

Vijana wote 10 wamezikwa leo baada ya kufanyiwa misa ya pamoja katika Usharika wa Moshono misa iliyoongozwa na Kaimu Mkuu wa Dayosisi ya Kaskazini Kati Mh. Solomon Masangwa na viongozi wengine mbali mbali

Mungu ailaze pema miilo ya ndugu zetu

PICHA INADANGANYA????

Waziri Mkuu Pinda Ahudhuria Misa ya Pamoja Jijini Arusha Kuaga Marehemu Waliofikwa na Mauti Baada ya Kufukiwa na Kifusi Jana

Mh

Waziri Mkuu Mizengo Pinda akitia saini kitabu cha maombolezo alipofika mkoani Arusha leo Kuwapa pole ndugu na jamaa ambao ndugu zao wamefariki katika machimbo ya Moramu katika eneo la Moshono Mkoani Arusha. Maporomoko hayo yametokea jana na kusababisha vifo vya watu13 na majeruhi wawili ambao mmoja ameruhusiwa na mwingine amelazwa katika Hospitali ya Mount Meru

Waziri Mkuu akiwa na wabunge wa Arusha na Meya pamoja na mkuu wa mkoa kwenye msiba huo mzito. Toka Kushoto ni Mbunge wa Arusha Mjini Mhe Godbless Lema, Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe Magessa Mulongo, Meya wa jiji la Arusha Mstahiki Gaudence Lyimo, Mbunge wa Arumeru Mashariki Mhe Joshua Nassari na Mbunge wa kuteuliwa Catherine Magige

Sehemu ya majeneza ya marehemu katika ibada hiyo maalumu leo
 
Acha kumtafuta mbunge, alikuwepo tangu siku ya kwanza na alichokosa ni misa tu! Anaweza kufanya mambo mengi mazuri baadaye mfano kuzuia ajali hizi za vifusi
 
Katika hali isiyo ya kawaida wakazi wa Moshono wameshangazwa na kauli zinazoendelea katika Kata ya Moshono wakati taratibu za maziko ya Vijana waliofukiwa na Ngema ikiendelea. Kumekuwako na viongozi wengi kutoka Serikalini na wengine wa Vyama hasa CCM. Ila watu wameshangaa kutomwona Mbunge wao akishiriki katika tukio hili ambalo ni kubwa kutokea hapa Arusha hasa katika Jimbo analoliongoza huyu Bwana.

Swala hili lilipelekea watu wengi kujiuliza kulikoni hata Kiongozi huyu Asitokee katika tukio hili hapa Mkoani. Katika mazungumzo kada mmoja wa CDM alisikika akisema huyu jamaa ameshajichokea manake alisema kuwa Moshono wamsubiri manake kwake la Mawala ni kubwa hivyo hana budi kwenda Nairobi na kama haitoshi alishajigolea vya kutosha toka tukio litokee.

Watu wakajaribu pamoja na hayo yote alikosa hata mtu wa kumwakikisha???? Awe kiongozi wao Chama ama mtu mwingine yeyote??? Hakuna jibu lililoweza kupatikana zaidi ya kila mtu wakiwemo wa CDM kuonekana kumwonea huruma huyu bwana hasa ikionekana kuwa kama si ameshakata tamaa basi pupa zinampeleka pabaya.

Vijana wote 10 wamezikwa leo baada ya kufanyiwa misa ya pamoja katika Usharika wa Moshono misa iliyoongozwa na Kaimu Mkuu wa Dayosisi ya Kaskazini Kati Mh. Solomon Masangwa na viongozi wengine mbali mbali

Mungu ailaze pema miilo ya ndugu zetu

Una uhakika na ulichokiandika??
 
Taifa la wafu. Sasa kuna hata roll call ya kuzikana! Nani atawapigania wachache walio hai wasiingie kwenye kundi la wafu?
 
Katika hali isiyo ya kawaida wakazi wa Moshono wameshangazwa na kauli zinazoendelea katika Kata ya Moshono wakati taratibu za maziko ya Vijana waliofukiwa na Ngema ikiendelea. Kumekuwako na viongozi wengi kutoka Serikalini na wengine wa Vyama hasa CCM. Ila watu wameshangaa kutomwona Mbunge wao akishiriki katika tukio hili ambalo ni kubwa kutokea hapa Arusha hasa katika Jimbo analoliongoza huyu Bwana.

Swala hili lilipelekea watu wengi kujiuliza kulikoni hata Kiongozi huyu Asitokee katika tukio hili hapa Mkoani. Katika mazungumzo kada mmoja wa CDM alisikika akisema huyu jamaa ameshajichokea manake alisema kuwa Moshono wamsubiri manake kwake la Mawala ni kubwa hivyo hana budi kwenda Nairobi na kama haitoshi alishajigolea vya kutosha toka tukio litokee.

Watu wakajaribu pamoja na hayo yote alikosa hata mtu wa kumwakikisha???? Awe kiongozi wao Chama ama mtu mwingine yeyote??? Hakuna jibu lililoweza kupatikana zaidi ya kila mtu wakiwemo wa CDM kuonekana kumwonea huruma huyu bwana hasa ikionekana kuwa kama si ameshakata tamaa basi pupa zinampeleka pabaya.

Vijana wote 10 wamezikwa leo baada ya kufanyiwa misa ya pamoja katika Usharika wa Moshono misa iliyoongozwa na Kaimu Mkuu wa Dayosisi ya Kaskazini Kati Mh. Solomon Masangwa na viongozi wengine mbali mbali

Mungu ailaze pema miilo ya ndugu zetu

PICHA INADANGANYA????

[h=3]Waziri Mkuu Pinda Ahudhuria Misa ya Pamoja Jijini Arusha Kuaga Marehemu Waliofikwa na Mauti Baada ya Kufukiwa na Kifusi Jana[/h]

Mh

Waziri Mkuu Mizengo Pinda akitia saini kitabu cha maombolezo alipofika mkoani Arusha leo Kuwapa pole ndugu na jamaa ambao ndugu zao wamefariki katika machimbo ya Moramu katika eneo la Moshono Mkoani Arusha. Maporomoko hayo yametokea jana na kusababisha vifo vya watu13 na majeruhi wawili ambao mmoja ameruhusiwa na mwingine amelazwa katika Hospitali ya Mount Meru

Waziri Mkuu akiwa na wabunge wa Arusha na Meya pamoja na mkuu wa mkoa kwenye msiba huo mzito. Toka Kushoto ni Mbunge wa Arusha Mjini Mhe Godbless Lema, Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe Magessa Mulongo, Meya wa jiji la Arusha Mstahiki Gaudence Lyimo, Mbunge wa Arumeru Mashariki Mhe Joshua Nassari na Mbunge wa kuteuliwa Catherine Magige

Sehemu ya majeneza ya marehemu katika ibada hiyo maalumu leo
 
PICHA INADANGANYA????[h=3]Waziri Mkuu Pinda Ahudhuria Misa ya Pamoja Jijini Arusha Kuaga Marehemu Waliofikwa na Mauti Baada ya Kufukiwa na Kifusi Jana[/h]
Mh Waziri Mkuu Mizengo Pinda akitia saini kitabu cha maombolezo alipofika mkoani Arusha leo Kuwapa pole ndugu na jamaa ambao ndugu zao wamefariki katika machimbo ya Moramu katika eneo la Moshono Mkoani Arusha. Maporomoko hayo yametokea jana na kusababisha vifo vya watu13 na majeruhi wawili ambao mmoja ameruhusiwa na mwingine amelazwa katika Hospitali ya Mount Meru Waziri Mkuu akiwa na wabunge wa Arusha na Meya pamoja na mkuu wa mkoa kwenye msiba huo mzito. Toka Kushoto ni Mbunge wa Arusha Mjini Mhe Godbless Lema, Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe Magessa Mulongo, Meya wa jiji la Arusha Mstahiki Gaudence Lyimo, Mbunge wa Arumeru Mashariki Mhe Joshua Nassari na Mbunge wa kuteuliwa Catherine Magige Sehemu ya majeneza ya marehemu katika ibada hiyo maalumu leo
Vchaa 2naoweng we mleta uz kat yako na picha nan muongo kaz kwako
 
Katika hali isiyo ya kawaida wakazi wa Moshono wameshangazwa na kauli zinazoendelea katika Kata ya Moshono wakati taratibu za maziko ya Vijana waliofukiwa na Ngema ikiendelea. Kumekuwako na viongozi wengi kutoka Serikalini na wengine wa Vyama hasa CCM. Ila watu wameshangaa kutomwona Mbunge wao akishiriki katika tukio hili ambalo ni kubwa kutokea hapa Arusha hasa katika Jimbo analoliongoza huyu Bwana.

Swala hili lilipelekea watu wengi kujiuliza kulikoni hata Kiongozi huyu Asitokee katika tukio hili hapa Mkoani. Katika mazungumzo kada mmoja wa CDM alisikika akisema huyu jamaa ameshajichokea manake alisema kuwa Moshono wamsubiri manake kwake la Mawala ni kubwa hivyo hana budi kwenda Nairobi na kama haitoshi alishajigolea vya kutosha toka tukio litokee.

Watu wakajaribu pamoja na hayo yote alikosa hata mtu wa kumwakikisha???? Awe kiongozi wao Chama ama mtu mwingine yeyote??? Hakuna jibu lililoweza kupatikana zaidi ya kila mtu wakiwemo wa CDM kuonekana kumwonea huruma huyu bwana hasa ikionekana kuwa kama si ameshakata tamaa basi pupa zinampeleka pabaya.

Vijana wote 10 wamezikwa leo baada ya kufanyiwa misa ya pamoja katika Usharika wa Moshono misa iliyoongozwa na Kaimu Mkuu wa Dayosisi ya Kaskazini Kati Mh. Solomon Masangwa na viongozi wengine mbali mbali

Mungu ailaze pema miilo ya ndugu zetu

Uongo mwingine ni wa "kitoto" sana...nenda kajipange tena!
Picha hizo zimekuaibisha sana ndugu yabgu...kwa lugha ya kwetu watu kama wewe tunawaita "ndosi" (mchawi).
Pfuuuu...!!!
 
Acheni mambo ya kinafiki, mbona siku ya kusomoa vifusi alishinda mgodini? Ni kiongozi gani wa Ccm alikuwepo front,??? Tafuteni hoja acheni mitindio yenu ya ubongo. Kiongozi mzuri huwa na ratiba ya kazi zake.
 
Back
Top Bottom