Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

CHADEMA kimejijenga kama tumaini mbadala wa CCM kutokana na hali duni na na kukata tamaa kwa watanzania kunakosababishwa na ubovu wa CCM wa kutojali na kushughulikia matatizo ya msingi wa wananchi...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka, ametoa siku 30 kwa mmiliki wa jengo la ghorofa 16, lililopo Mtaa wa Indira Gandhi katikati ya jiji, Ally Raza kulibomoa...
1 Reactions
90 Replies
13K Views
Kuna tatizo gani kwenye mitandao yetu ya simu za mkononi? Airtel yatosha, really! Siku za karibuni kuna tatizo kubwa kwenye mitandao ya simu kwani kwa wiki sasa Airtel wamekuwa useless. Mara...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Akihojiwa na Al-jazeera leo kuhusu mpaka wa ziwa nyasa na Tanzania,amesema kwa umri wake wa miaka 63 hajui kama Tanzania ina umiliki kwenye ziwa Nyasa. Hata hivyo amesema legal institutions...
0 Reactions
91 Replies
8K Views
Vijana waliyofukuzwa CHADEMA Juliana Shonza na Mtela Mwampamba sasa hivi wapo ofisi za NEW HABARI wakiwa na mhariri wa Mtanzania Jumatano bwana CHARLES MULINDA ambaye anatumika kuwatukana...
0 Reactions
144 Replies
13K Views
WAZIRI wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe amesema hana mpango wa kugombea urais katika uchaguzi mkuu ujao wa mwaka 2015. Katika hatua nyingine Waziri huyo ameshangazwa na baadhi ya wana-CCM...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ndugu zangu wanachadema na upinzani kwa ujumla. Kama tujuavyo sote majimbo yote mawili yanayounda jiji la Mwanza yanashikiliwa na chama chetu pendwa(CHADEMA ) na CCM hapa Mwanza ndo chama cha...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Mkurugenzi mkuu wa TAKUKURU, Edward Hosea TAASISI ya Kupambana na Kuzuia Rushwa (TAKUKURU) imeomba ijengewe mahakama yake iweze kutenda haki katika kesi za rushwa. Mkurugenzi wa TAKUKURU, Dk...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kutokana na sakata la mgogoro wa ardhi Loliondo kati ya Mwaarabu na wamasai, Waandishi wa Habari Musa Juma na Ramadhan Mvungi wa Startv wamepotea na hawajulikani walipo. Sekeseke lilianza baada ya...
1 Reactions
53 Replies
6K Views
Wanakwenda majukwaani, wananunua watu 10 kutoka vyama vya upinzani, wanapiga picha, wanazunguka na wengine nchi nzima huku wakijipongeza. Wanatumia nguvu nyingi sana kuengineer uhasama dhidi ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
India and Tanzania today inked an initial pact for forging alliance to explore mineral wealth in the African nation. "Tanzania has huge mineral resources which are yet to be fully developed. I...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Tuombe Mungu Uchaguzi 2015 ufanyike tuondoe misikule. Yule askari aliye muua Mwangosi kule Iringa kesi yake iliishia wapi? Make wale askari walio muua pamoja na kamanda Kamhanda bado wanakula kuku...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Kwa members wengi wa JF na waandishi wa habari tulio karibu na member mwenye ID ya Pasco, tume-note/tunajua vitu vifuatao: 1: Ni muumuni namba moja wa Lowassa na anatamani kwa udi na uvumba...
10 Reactions
32 Replies
3K Views
Ndugu wanajamvi, Kuna taarifa kuwa kamanda wa CHADEMA mkoani Iringa amepigwa na watu wasio julikana,kamanda huyu kwa jina Athanas Mongo amelazwa hospital ya mkoa Iringa wodi no5 takriban ni wiki...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Habari za meli 32 za Iran kutumia bendera ya Tanzania zilivuja mwaka jana, lakini waziri wa mambo ya nje alitoka na taarifa kwamba ana taarifa na hayo matukio. Jana kuna meli ya IRAN imekamatwa...
0 Reactions
42 Replies
4K Views
Wadau, Baada ya kuvutana sana na kuumiza vichwa katika mijadal mipya iliyojitokeza weekend hii, nadhani kuna haja ya kupumzisha vichwa kidogo kwa kufanya quiz ya matukio ya hivi karibuni ya siasa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kuna tetesi kwamba Mwenyekiti wa CHADEMA Mh. Freeman Mbowe leo yuko Mbeya. Katika safari yake hiyo anategemewa kukutana na viongozi mbali mbali wa CDM pamoja na wanamabadiliko kwa ajili ya...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Wakuu hii iko kwenye 'twitter' ya waziri wa mambo ya nje Mh. Benard Membe. Naomba tusaidiane mawazo na michango juu ya kauli hii. Je kunaweza kuwa na madhara yoyote kidiplomasia? Bernard Membe...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
VUAI ASISITIZA KUTUNZA MUUNGANO, Awabeza wanaoupinga. Asema ni mawakala wa ukoloni na wapinga mapinduzi. Naibu Kaibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi upande wa Zanzibar, ndugu Vuai Ally Vuai...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Hivi jamani baada ya kuanguka kwa jengo chang'ombe mwaka 2006 if am not mistaken iliundwa tume famously known as Tume ya Lowasa nayo ilikuja na majibu na proposals sasa kuna lolote lilitekelezwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom