Shonza na Mwampamba ndani ya New Habari

Shonza na Mwampamba ndani ya New Habari

OgwaluMapesa

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2008
Posts
10,942
Reaction score
437
Vijana waliyofukuzwa CHADEMA Juliana Shonza na Mtela Mwampamba sasa hivi wapo ofisi za NEW HABARI wakiwa na mhariri wa Mtanzania Jumatano bwana CHARLES MULINDA ambaye anatumika kuwatukana viongonzi wa CHADEMA.

Inasemekana vijana hawa wameleta ushaidi ya mambo waliyokuwa wanapanga wakiwa Zitto Kabwe.
 
Mambo waliokua wanayapanga na Zitto?yaan wanakuja kuthibitisha kua wao walikua wasaliti? Je hawa watu wanastahili kuaminika?
They are not credible witnesses according to me.
 
Ni vema mambo haya kujulikana sasa. Ni wazi kabisa matukio haya yanathibitisha mpango uliokuwa nyuma ya pazia wa kuhakikisha chadema inasambaratika. Rejea kauli za Nape Nnauye, Mwigulu Nchemba na Stephen Wassira kuwa chadema itakufa 2013. Ni kwa bahati tu kuwa mpango huu umevurugika mapema na wahusika wa mpango kuanza kuitana wasaliti na kutoa taarifa nje. Ni bahati tu pia hata hili la Lwakatare limeonesha dalili kuwa ni moja ya mipango hiyo pia. Muhimu kwa sasa ni kwa wanachama wa chadema kuwatia moyo wanaoitwa wasaliti kuendelea kutoa ya moyoni hata kama ni mabaya kwa kiasi gani lakini yana umuhimu mkubwa wa kujifunza jinsi ya kulinda chama dhidi ya wengnine wenye mwelekeo huo.
 
Vijana waliyofukuzwa CHADEMA Juliana Shonza na Mtela Mwampamba sasa hivi wapo ofisi za NEW HABARI wakiwa na mhariri wa Mtanzania Jumatano bwana CHARLES MULINDA ambaye anatumika kuwatukana viongonzi wa CHADEMA.

Inasemekana vijana hawa wameleta ushaidi ya mambo waliyokuwa wanapanga wakiwa Zitto Kabwe.

wanamjuwa Zitto au wanamsikia?

labda kama kawatuma mwenyewe.
 
Bado inawauma kufukuzwa chadema .............wafanye mambo yanaowahusu na yaliyowapeleka ccm
 
Vijana waliyofukuzwa CHADEMA Juliana Shonza na Mtela Mwampamba sasa hivi wapo ofisi za NEW HABARI wakiwa na mhariri wa Mtanzania Jumatano bwana CHARLES MULINDA ambaye anatumika kuwatukana viongonzi wa CHADEMA.

Inasemekana vijana hawa wameleta ushaidi ya mambo waliyokuwa wanapanga wakiwa Zitto Kabwe.
watu hao ni wahanga wa siasa tu kwan they don't have a specific political strategic plan, they just sick around.
 
Bashe acha kugeuzwa mjinga wewe tunakuamini inamaana umeokota masalia ya charles mulindwa aliyefukuzwa hata na Dira kuwa ndio mhariri wa Mtanzania? achana na siasa za maji taka wafukuze hao wakina shonza hapo wewe una adabu usingetaka kukaa na watoto wenyekuharisha kila wanaposema, achana nao unajichafua na hata watu wamaana wanaokupigania watakutosa sasa,
 
Vijana waliyofukuzwa CHADEMA Juliana Shonza na Mtela Mwampamba sasa hivi wapo ofisi za NEW HABARI wakiwa na mhariri wa Mtanzania Jumatano bwana CHARLES MULINDA ambaye anatumika kuwatukana viongonzi wa CHADEMA.

Inasemekana vijana hawa wameleta ushaidi ya mambo waliyokuwa wanapanga wakiwa Zitto Kabwe.

Hiyo ndiyo tuondokee, wameshakosa la kuongea sasa wanafanya recycling ya habari zao za majungu ambazo zimeshapitwa na wakati. Wakitoka huko New Habari sijui wataelekea wapi
 
Wana nini kipya cha zaidi kisichojulikana ndani ya chadema?Kwani mengi waliulizwa pale Moro wakakataa.Na huo mlango wa R.A wanaoupitia watanzania wengi wanaujua ni wa list of shame.Waacheni watapetape kwani waelekea ukingoni.
 
Vijana waliyofukuzwa CHADEMA Juliana Shonza na Mtela Mwampamba sasa hivi wapo ofisi za NEW HABARI wakiwa na mhariri wa Mtanzania Jumatano bwana CHARLES MULINDA ambaye anatumika kuwatukana viongonzi wa CHADEMA.

Inasemekana vijana hawa wameleta ushaidi ya mambo waliyokuwa wanapanga wakiwa Zitto Kabwe.

Si waliisha ambiwa kwamba, kwa vile hawapo CHADEMA, hawana uhalali wa kuzungumzia mambo ya CHADEMA!!??? Anyway, waacheni wabwabwanye maana hio ndiyo imekuwa kula yao. Bila hivyo, ni ngumu mkono kwenda kinywani. Kibaya zaidi ni kwamba ile MISSION ya kuiua CHADEMA imebugi, ndiyo maana kila siku wapo kwenye media ambazo nazo zinajitahidi kujiokoa kwenye tanuru la moto siku ya UHURU kamili ikifika.
 
Back
Top Bottom