paul nsangu
Senior Member
- Nov 23, 2012
- 179
- 32
Ndugu wanajamvi,
Kuna taarifa kuwa kamanda wa CHADEMA mkoani Iringa amepigwa na watu wasio julikana,kamanda huyu kwa jina Athanas Mongo amelazwa hospital ya mkoa Iringa wodi no5 takriban ni wiki mbili sasa akiwa hajitambui kabisa.
Kamanda huyu ambaye yupo chini ya uangalizi wa polisi wodini hapo hali yake sio nzuri sana, chanzo cha kipigo hicho mpaka sasa hakieleweki kwani mgonjwa huyo haruhusiwi kuhojiwa na mtu yeyote.
Ndugu wana CHADEMA tunaomba kumtembelea kamanda huyu wodin hapo ili kuonyesha umoja na mshikamano wetu wa kichama Iringa.
Kwa yeyote anayejua zaidi taarifa hizi atujulishe.
viva CHADEMA tutashinda tu dhidi ya udhalimu huu!...................!.