WABHEJASANA
JF-Expert Member
- Jun 22, 2011
- 4,225
- 869
Hapa bungeni Dodoma Mbunge Lekule Leizer ameomba kama nidhamu ya wabunge itaendelea kuwa 'mbovu' ndani ya Bunge basi bunge hilo livunjwe kwa sababu halitakuwa na maana yoyote,amesema Bunge ndilo mara nyingi limekuwa likijadili taasisi nyingine kuvunjwa lakini lenyewe linafanya madhambi kwa nini lisivunjwe?!
Naomba tujadili hili kwa pamoja.Je kwa hali ilivyo sasa ndani ya bunge,wabunge kuzomeana,kuoneshana kila aina ya nidhamu mbovu,ni kweli kuna haja ya hoja ya Leizer kufanyiwa kazi?!
Naomba tujadili hili kwa pamoja.Je kwa hali ilivyo sasa ndani ya bunge,wabunge kuzomeana,kuoneshana kila aina ya nidhamu mbovu,ni kweli kuna haja ya hoja ya Leizer kufanyiwa kazi?!