Kalenga-Iringa
JF-Expert Member
- Nov 4, 2012
- 263
- 41
Samahani ndugu zangu,
Naomba tuweke politiki pembeni tujadili utaifa kwanza.
Hivi wengi tunategemea nini kwenye katiba mpya? Na mnadhani ni lini itaanza kutumika?
Muungano utakuwaje?
Dual citizenship?
Mgombea binafsi?
Sheria ya viboko kuingizwa bungeni? nk