Rwangoga B.Edius
Member
- Jan 11, 2013
- 5
- 1
Ccm kwa uelewa mdogo walianza zamani kutumia dini zetu kuomba kura na kuzima vyama vya upinzani vilivyoonesha nguvu, leo wanakana kuchochea udini nchini, wanasahau walipohaidi baadhi ya dini mambo makubwa zaidi ya uwezo, wataumbuka na tutawawajibisha kwa tamaa zao zinazotuletea udini tanzania.wasubiri 2015, hatuna mzaa tena kwa mambo kama haya.