Peter Serukamba waziri mkuu mtarajiwa wa 2015 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Peter Serukamba waziri mkuu mtarajiwa wa 2015

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MCHAWI, Dec 22, 2011.

 1. M

  MCHAWI Member

  #1
  Dec 22, 2011
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 44
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nilipata bahati ya kukutana na mmoja ya watu ambao wako kwenye frontline ya mapambano ya Mh.Lowasa ya kulinda heshima yake waliojaribu kuipoka na kumzuia kuwa mgombea urais wa Tanzania. Moja ya maeneo ambayo alionyesha kutokukubaliana nayo sana au kumkwaza ni swala la bwana Peter Serukamba kuja kuwa Waziri Mkuu mpya wa Tanzania baada ya mafanikio ya kuchukua nchi mwaka 2015.
  Kwa sasa anadai kuwa mipango yote ya kampeni inaratibiwa na bwana mdogo Peter na hata ukitaka kupatiwa msaada wowote mpaka aupitishe yeye.........kwa mawazo yake ni kuwa walau wageni wakienda kuongea na Mh.Lowasa basi awe anawapisha sebleni waongee private kuliko na yeye kuwepo hapo muda wote tena hasa wanapokuwa wako dodoma.Na kaendelea kuniambia kuwa Pita ni mtu ambaye atachukua uwaziri mkuu kwa jinsi walivyokubaliana likini cha ajabu ni kuwa anakosa kujiamini kwa muda wote kuwa amekaa pembeni ya Mh lowasa as if kuna mtu atamnyang"anya nafasi yake.NADHANI BWANA MDOGO KWA MSIMAMO WAKE ANAFAA KUSAIDIA NCHI YETU....................Wiki iliopita nilizungumza nae kuhusu matarajio ya kuwa na nafasi hio na hasa maneno ya kuwa anawaziba wenzie nafasi ya kumuona mh. Lowasa jibu lake lilikuwa ni jepesi kidogo kuwa watu wana wivu kuona anahaminiwa na Mzee.
   
 2. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #2
  Dec 22, 2011
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,339
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  This is Crap! where is Bin?
   
 3. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #3
  Dec 22, 2011
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,054
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  The way EL alivyo machine kiutendaji, nadhani Peter ana walakini
   
 4. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #4
  Dec 22, 2011
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,505
  Likes Received: 534
  Trophy Points: 280
  CCM kuna majembe mengi tu ya kuchukua nafasi hiyo.
   
 5. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #5
  Dec 22, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 9,847
  Likes Received: 3,132
  Trophy Points: 280
  what's goin' on in bongo?ikulu kuna biashara gani kule?
   
 6. Mpenda Kwao

  Mpenda Kwao Senior Member

  #6
  Dec 22, 2011
  Joined: Apr 29, 2008
  Messages: 175
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Acha kampeni zisizo na kichwa wala miguu, sasa hivi tujikite zaidi kwenye janga la mafuriko na kuangalia ni jinsi gani tunaweza kuwasaidia ndugu zetu walioathirika. Au wewe upo nchi gani hadi huoni kuna top priority agenda on the table?
   
 7. a

  adobe JF-Expert Member

  #7
  Dec 22, 2011
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 1,565
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  Huyo peter ni vuv├╣zela hana lolote zaid ya kujipendekeza.huyu dogo tulikuwa nae pale sinza kwa charles miaka ya 2003 akiwa ombaomba tunamsaidia lakin sasa hata ukimsalim anaona kafika.na kwa tabia yake kujikomba wanaweza wakam cameroon.hafai kuongoza na apigwe vita asjekuwa waziri watoto wetu wa kike watakoma
   
 8. G

  Gagnija JF-Expert Member

  #8
  Dec 22, 2011
  Joined: Apr 28, 2006
  Messages: 5,909
  Likes Received: 307
  Trophy Points: 180
  Hii sasa ni kufuru!
   
 9. MAGEUZI KWELI

  MAGEUZI KWELI JF-Expert Member

  #9
  Dec 22, 2011
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 1,937
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Mafuriko ya Dar yamekukosakosa nini?? Acha mada mbovu mbovu...Waziri mkuu kabla ya Rais??
   
 10. M

  Mohamed Ibrahim Member

  #10
  Jan 21, 2012
  Joined: Jan 21, 2012
  Messages: 49
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Jambo la muhimu ni uwezo wake wa kujenga hoja na kusimamia jambo lake anatakiwa aache kubana kasauti kake akiongea.
   
 11. M

  Mohamed Ibrahim Member

  #11
  Jan 21, 2012
  Joined: Jan 21, 2012
  Messages: 49
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Jambo la muhimu ni uwezo wake wa kujenga hoja na kusimamia jambo lake
  Japo anatakiwa aache kubana kasauti kake akiongea.
   
 12. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #12
  Jan 21, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Mchicha mwiba unakuchoma huku unauchuma
   
 13. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #13
  Jan 21, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,082
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145
  Rais na waziri mkuu safari hii watatoka kwa ndugu zetu wa Tanzania visiwani,ni muda mrefu umepita toka wakalie viti hivyo,hili litasaidia sana kudumisha udugu wetu na kuzidi kuaminiana!kama hili haliwezekani basi ni bora awe dr slaa tu tujue moja!
   
 14. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #14
  Jan 21, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,082
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145
  Rais na waziri mkuu safari hii watatoka kwa ndugu zetu wa Tanzania visiwani,ni muda mrefu umepita toka wakalie viti hivyo,lowassa labda awe mgombea mwenza tu,hili litasaidia sana kudumisha udugu wetu na kuzidi kuaminiana!kama hili haliwezekani basi ni bora awe dr slaa tu tujue moja!
   
 15. Mwanaukweli

  Mwanaukweli JF-Expert Member

  #15
  Jan 21, 2012
  Joined: May 18, 2007
  Messages: 4,283
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
 16. RaiaMbishi

  RaiaMbishi JF-Expert Member

  #16
  Jan 21, 2012
  Joined: Jan 18, 2012
  Messages: 252
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Iwapo Lowassa atakuwa Rais, Mr. Peter lazima atakuwa kwenye baraza la mawaziri lakini sio nafasi ya waziri mkuu. Pamoja na ukweli kwamba hana sifa za kuwa waziri mkuu (inahitaji mtu aliyekwisha shika madaraka ya uwaziri kwa muda mrefu), lazima Mr. Peter atapewa wizara muhimu zinazohitaji ukaribu na utawala kama vile nishati, fedha au utawala bora. Waziri mkuu lazima atakuwa mtu ambae ata balance makundi yatakayojitokeza baada ya uchaguzi mkuu. Lakini yote hii ni iwapo mwenyezi mungu atawafikisha wote hai wa pumzi na viungo mwaka 2015.
   
 17. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #17
  Jan 21, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,107
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 0
  Naanza kuwatafutia uraia wa nchi nyingine ndugu zangu wote. Kama kuna kitu nimejifunza nchi inayoitwa Tanzania basi ni kutodharau mambo yanayoonekana they are so ridiculous that they can never happen. Wana JF wenzangu, naomba tuilinde nchi yetu kwa kuwa hatutapewa nchi nyingine.

  Na kwenu nyie wote mnaowapigia debe kina Lowassa na Serukamba, jueni kuwa mnaiweka rehani nchi yetu sote!
   
 18. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #18
  Jan 21, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,569
  Likes Received: 21,083
  Trophy Points: 280
  hii nchi ina laana hiii
  sio bure
   
 19. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #19
  Jan 22, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,107
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 0
  Nilishawahi kusema kama ulivyosema wewe nikaambiwa na watu wengi tu (akiwemo ndugu na Rafiki yangu Ruta...) kwamba nimelewa pombe za bure! Labda wewe watakuelewa
   
 20. g

  grandpa Senior Member

  #20
  Jan 22, 2012
  Joined: Aug 24, 2008
  Messages: 184
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hivi Peter Serukamba hakua na tuhuma kua sio rizki?
   
Loading...