The Fixer
JF-Expert Member
- Mar 3, 2008
- 1,365
- 599
>>Wamshitaki kwa Waziri Emmanuel Nchimbi >>Wasema anaendesha ugaidi wa Kiislamu >>Atakiwa ajiuzulu na Timu yake yote ya Jihad WANAOJIITA Kamati Huru ya Umoja wa Makanisa nchini, wamemwandikia Waziri wa Mambo ya Ndani Mheshimiwa Dr.Emmanuel Nchimbi wakimtaka amsaidie Rais Kikwete kutanabahi kwamba anatakiwaajiuzulu pamoja na timu yake yote ya Jihad. Umoja huo umetoa maelekezo hayo baada yakumtuhumu Rais Jakaya Mrisho Kikwete kuwa anaendesha Jihad ya kuwauwa Wakristo na Ukristo.Katika barua yao kwa Mheshimiwa Waziri Nchimbi ya tarehe 31 Machi, 2013 wametahadharisha wakisemakuwa itakuwa ni maangamizikwa wana-jihad kama wanadhani kuwa Wakristo watawageuzia shavu la kulia.Ndugu Waziri, ni vyema ukamsaidia Rais Kikwete kusoma nyakati. Wakristo 28 milioni kuchokozwa na Waislamu 11 milioni, hatima yake inaeleweka hata kwa mjinga.Katika barua hiyo iliyonakiliwa kwa taasisi zote za Kikristo nchini pamoja na Bakwata, Waziri Nchimbi anafahamishwa kuwa Wakristo wote kwa pamoja wanamtaka Rais Kikwete ajiuzulu. Ndugu Waziri, unafahamu kwamba Wakristo milioni 28 wa Taifa hili kama Mwili mmoja wa Kikristo, na kama familia moja ya wana wamilki ya Mungu, wametoaTamko kwamba Rais Jakaya Kikwete ajiuzulu pamoja na timu yake yote ya jihad,kwa kuongoza nchi yetu kwa udini mahala pa utawala wa Sheria, na kuipuuza kabisa Katiba ya Nchi.Wakifafanua waliouita udini na ujahidina wa RaisJ akaya Mrisho Kikwete wamesema kuwa ni pamoja na kuwalazimisha kula nyama iliyochinjwa na Waislamu wakati ni marufuku Wakristo kula chochote kilicho swaliwa kwa Allah na mashetani wengine. (Kwamba) Mungu anawapiga marufuku Wakristo kushirikiana na mashetani, kwamba n marufuku kunywea kikombe cha Bwana na kikombe cha mashetani yaani Allah na majini.Imesema na kufafanua barua hiyo ambayo pia imenakiliwa kwa Katibu Mkuu Kiongozi Ikulu,Spika wa Bunge na taasisi za Kikristo nje ya nchi. Jambo jingine analoshutumiwa Rais Kikwete na hivyo kushitakiwa kwa Waziri wa Mambo ya Ndani Dr.Emmanuel Nchimbi, ni kuwa amepiga marufuku Redio ya Kikristo, Redio Neema,ambayo inaelezwa kuwa inafanya kazi ya kupambana na ugaidi wa Kiislamu.Umoja huo ukamtaka Waziri Nchimbi kuhakikisha kuwa Redio hiyo inafunguliwa mara moja na kwa upande mwingine kumtaka Rais Kikwete awaombe radhi Wakristo.Mheshimiwa Waziri(Dr. Emmanuel Nchimbi),kilichoitwa uchochezi wa kidini ni uhanga wa Redio Neema na Askofu Mpemba,wa kuishindania Imani ya Kristo kama Mungu alivyowaagiza Wakristo katika Biblia Takatifu
Kama kweli Rais Jakaya Kikwete yuko kinyume na ugaidi huu unaoendeshwa dhidi ya Wakristo nchini,ni lazima afanye yafuatayo: Awaombe radhi Wakristo kwa kutumia dola kuukandamiza Ukristo nchini, na kutumia dola kuuimarisha ugaidi wa Kiislamu
(na pia) awaombe msamaha Wakristo kwa kufungiwa Redio Neema,eti isipinge ugaidi dhidi ya Ukristo. Pamoja na kumshutumu Rais Kikwete, Umoja huo wa Makanisa umeushitaki pia Uislamu kwa Waziri Nchimbi kwamba unawaagiza Waislamu kuwakata shingo Wakristo na kwamba ugaidi huo ulianzishwa rasmi wakati wa Awamu ya Pili ikiongozwa na Alhaj Ali Hassan Mwinyi. Ndugu Waziri, Jihad ya kuchochea kuwakata shingo Wakristo nchini na kuteketeza makanisa, wakisimama katika maamrisho ya mungu wao Allah katika Quran sura 9:30, sura 47:4 (ziko aya 320 zinazochochea ugaidi),ilianza rasmi mwaka 1986 kwa udhamini wa Ali Hassan Mwinyi, kinyume cha Katiba ya Nchi na maadili ya Taifa letu. Inasema sehemu barua hiyo. Japo Bakwata wanaonyesha kupewa nakala, bado hakuna dalili kwamba wameifanyia kazi barua hiyo na haijulikani ni kwa nini Umoja huo wa Makanisa ukaamua kuwapa nakala wakati humo ndani wamemuita Allah kuwa nishetani. Aidha, bado hakuna ishara yoyote kwamba serikali imeifanyia kazi hasa ukizingatia uzito wa kufru na kashfa iliyofanywa dhidi ya Waislamu na Uislamu kwa Mola wao kuitwa shetani na Uislamu kuitwa kuwa ni ugaidi.Wakristo wameonywa vikali na Mungu kwamba wasiivunje kamwe miiko hii yote, kwa sababu vyote hivyo vya Waislamu vinaswaliwa kwa mashetani yaani Allah na majini. Kiwango cha ugaidi kilichofikiwa dhidi ya Ukristo nchini kimelazimisha mipango madhubuti ya kuhakikisha kwamba huduma zote hizi zinatolewa na Wakristo kwa ajili ya Wakristo, ili wakiisha kutubia dhambi ya kukinywea kikombe cha mashetani kwa miaka mingi sasa wasiirudie tena, kwani Yesu yuaja.Imesema katika kumalizia barua hiyo huku ikiwataka Wakristo wasinunue katika maduka ya Waislamu wala kula katika migahawa yao,kulala katika hoteli zao au kupanda daladala zao kwasababu vyote hivyo vya Waislamu vina swaliwa kwa mashetani yaani Allah na majini. Imekuwa vigumu kufahamu ni kwa nini Kamati hii Huru ya Umoja wa Makanisa imeamua kumshitaki Mheshimiwa Rais Kikwete kwa Waziri wake.Hata hivyo, baadhi ya vifungu katika barua yao vinatoa dalili ni kwa nini wamefanya hivyo. Moja ya dalili hizo ni pale wanaposema kuwa Wizara yake imetumika sana kwa ugaidi wa Kiislamu nchini,na zaidi Jeshi la Polisi,ingawa Idara ya Uhamiaji nayo imetumika kuwaingiza nchini magaidi wengi.Wakionyesha zaidi ni kwanini wameamua kumshitakia yeye Waziri wanasema kuwa Polisi walio chini yake wanatumika kuzimaCrusade hasa wanapoona Waislamu wanakimbia Uislamu na kujisalimisha kwa Yesu na hasawaonapo Biblia ni Jibuwanau angamiza Uislamu kwa kutoboa siri za ushetani wa Allah na mtume wake,kutoka katika vitabu vya Kiislamu na Biblia Takatifu.(Na kwamba) Ugaidi huu wa Polisi umewatesa sana wahubiri wa Kikristo nchi nzima mpaka Zanzibar. Kwa upande mwingine wameonyesha kuwa wamelazimika kumwandikia Waziri Nchimbi akiwa nadhamana ya usalama wa ndani ya nchi kwa sababu anaonekana kutowajibika ipasavyo kuzuiya magaidi wa Al Shabab na Al Qaida kuingia nchini.Mheshimiwa Waziri,siyo siri kwamba wapiganaji wengi wa Kiislamu wameandaliwa nje na ndani ya nchi kwa ajili ya ugaidi dhidi ya Ukristo nchini. Hata wale waliokwenda Somalia kufunzwa na Al-Shabab naAl-Qaida jinsi ya kuangamiza makafir (Wakristo) mpaka kwa mabomu ambayo wamefundishwa hata kuyatengeneza, wamerejea nchini kwa ajili ya vita.Hivi sasa misikiti mingi nchini inatumika kwa mafunzo ya kivita. Ugaidi unafundishwa kwa nguvu katika vituo maalum vya Kiwalani (Jijini Dar esSalaam), Ukala katika Ziwa Victoria, Namtumbo, Ifakara,Uvinza, Morogoro, Tanga, Pemba na kwingine. Hata hivyo, pamoja na maelezo hayo ambayo yanatoa ishara ni kwa nini mashitaka na malalamiko haya yameelekezwa kwa Waziri Nchimbi,inavyoonekana kuna sababu nyingine muhimu zaidi ambayo inajitokeza pale Kamati Huru ya Umoja wa Makanisa inapomwelekea Mheshimiwa Nchimbi ikisema:Mheshimiwa Waziri,tunaheshimu sana uzalendo wako na umakini wako katika masuala nyeti, pamoja na hofu uliyo nayo kwa Mungu.Tunaamini kwamba
Rais akighafilika kama binadamu wengine upo wewe wa kumsaidia upesi kupunguza mizigo ili chombo kivuke maji ya hatari. Hivi karibuni mara baadaya kutokea ile jinai mbaya ya kuuliwa Padiri Mushi,Waziri wa Mambo ya Ndani,Mheshimiwa Emmanuel Nchimbi alikuwa wa mwanzo katika viongozi wa serikali kudai kuwa lile lilikuwa tukio la kigaidi. Kwamba waliofanya mauwaji yale walikuwa magaidi.Hata hivyo, si rahisi kusema kwa uhakika iwapo ugaidi aliokuwaa kizungumzia Mheshimi wa Waziri Dr. Emmanuel Nchimbi, unahusia na na huu unaozungumziwa na Kamati Huru ya Umoja wa MakanisaTanzania. MY TAKE ; Waislamu walipouliwa na Bwana Mkapa pale Mwembechai hawa jamaa hawakukemea mauji yale hata kwa aya moja tu Hapa nako kuna tatizo la " double standard " Nliandika siku moja hapa kuwa wadau hawa wanatakiwa kukutana lakini mpaka leo bado Kuna mengi yanakujaa......