Mwalufunamba
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 211
- 129
Ikiwa kama ugaidi kwa tafsiri nyepesi ni kuwafanya watu waishi kwa hofu (terror) kwa maslahi ya waleta/wajaza hofu (terrorist), basi CCM ni chama cha kigaidi.
1. Ndicho kilichowafanya wanachama wake wasikikosoe wakiwa ndani ya chama kwa hofu ya kufa kama Dr Horace Kolimba.
2. Ndicho kilichowafanya wanachama wake wasikikosoe mara wanapotaka kukihama kwa hofu ya kufa pale kilipohusishwa mauaji ya Gibson Mwaikambo.
3. Ndichokilichowafanya watu walio nje ya chama hicho/wasio wanachama lakini wasema ukweli wawe na hofu ya kukikosoa (kusema ukweli) kwa kuhusishwa na mauaji ya Chacha Wangwe.
4. Ndicho kilichowafaya watu wawe na hofu ya vyama vya ushindani kuwa vitaleta vita pale kinapohusishwa na kuwatumia wanachama wake (JANJAWEED) kulipua majengo ya umma kwa kutumia mabomu ya TNT.
5. Ndicho kilichowafanya watu wawe na woga kuzishangilia harakati za vyama vya ushinda kwa kuhusishwa na mauaji ya makada na wakereketwa watatu wa CHADEMA wakati kampeni za Uchaguzi mdogo wa Igunga.
6. Ndicho kilichowafanya watu kuwa na hofu ya kuandamana kwa kuhusishwa kulitumia jeshi la Polisi kuua watu Arusha
7. Ndicho kilichowafanya watu wawe na hofu ya maisha yao na kuwa vyombo ya usalama si msaada kwao pale kinapohusishwa na kulitumia Jeshi la Polisi kumuua kinyama Daudi Mwangosi aliyekuwa kazini.
8. Ndicho kilichowafanya wanataaluma kuishi kwa hofu na kutokuona thamani yao katika nchi yao pale kinapohusishwa majaribio ya kuua yaliyoshindwa kwa Dr Steven Ulimboka na Absalomu Kibanda.
Kwa mifano hiyo michache Chama cha Mapinduzi, CCM, kisiwe Chama Cha Magaidi hivyo kujulikana ni cha kigaidi kwa kuwa kinaupanga, kufadhili na kuutekeleza?