habibu bakili
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 202
- 51
ni ukweli usiopingika kuwa EL ndiye mwanasiasa kutoka ccm ambaye ana nguvu zaidi ndani na nje ya ccm pengine kuliko wenzake wote ndani ya chama.!licha ya kashfa zote zinazomkabili bado EL ameonekana kuwa na mbinu na mikakati imara kuwazunguka adui zake na kuendelea kujiimarisha ndani na nje ya chama.!
kwa upepo unavyoelekea inaonekana EL ni moja kati ya watu wachache ambao wameshika uhai wa chama, kutokana na kujua mbinu nyingi chafu zilizotumika kuwaingia viongozi waandamizi madarakani na mipango michafu ya kupata fedha za kampeni, na hiki ndicho hasa adui zke wanachokiogopa hata kushindwa kumtimua ndani ya chama.!
mbali na hilo, kwa hali ilivyo sasa inaonekana EL ndiye mwanasiasa mwenye mtandao mkubwa na wenye nguvu na fedha ndani ya chama.! hivyo ni wazi kuwa kama NEC ikikutana leo kumchagua mgombea uraisi ni wazi kuwa EL ndiye mwenye nafasi kubwa ya kuibuka kidedea (utafiti uliofanywa na synovate, lowasa anazidiwa na pinda na maghufuli ambao bado hawajaonesha nia ya dhati ya kuutaka uraisi).!
kitendawili kinakuja ni kwamba: kutokana na EL kuungwa mkono na wanachama wengi wa ccm lakini haungwi mkono na uongozi wa juu wa chama, je kama ataamua kutangaza nia rasmi na wanachama wakaamua kumpa ridhaa, uongozi wa juu wa chama utakubali hili litokee??? na wasipo kubali je EL atakubali kuhujumiwa na viongozi wenzake.!
kutikana na muono huo kwa kiwango fulani ni sahihi kusema kuwa ingawa EL anapigwa vita na kutafutwa sana na uongozi wa juu wa chama lakini kimsingi EL ameshika mkononi uwepo wa ccm kama chama kwasabu kama akithubutu kufanya maamuzi ambayo si ya maslahi ya chama kuna uwezekano mkubwa wa ccm kusambaratika.!