Kanuni mpya ya bunge

Kanuni mpya ya bunge

makesy

Member
Joined
Jan 29, 2013
Posts
75
Reaction score
32
Hii ni mpya na imeanza kazi kabla ya kutungwa inasema mbunge akiomba utaratibu /mwongozo maranyingi atatolewa nje na kufungiwa kuingia bungeni kwa siku tano NIANBIE TUNA BUNGE AU KLABU YA POMBE ZA KIENYEJI?
 
Nimefanya utafiti na kubaini kwamba ktk maisha ya binadamu awe mwanamme au mwanamke, asipopata bahati ya kuoa au kuolewa ni kuwa atakapofikia umri wa uzeeni atachanganyikiwa( totally frustrated).
 
Nimefanya utafiti na kubaini kwamba ktk maisha ya binadamu awe mwanamme au mwanamke, asipopata bahati ya kuoa au kuolewa ni kuwa atakapofikia umri wa uzeeni atachanganyikiwa( totally frustrated).

Amina! Hii ni kweli tena symptoms zinaanza pale watu uliocheza nao kombolela wanapooa/kuolewa wote na wewe ukabaki.
 
Mzee Samuel Sitta,

WaTanzania wenzako tunakukumbuka sana tena sana. Huko nyumba niliwahi kusikia utani fulani eti mtu yeyote mwenye darasa ndogo akipata cheo kikubwa bado utamtambua tu. Jamani kiti cha Uspika hadi hivi sasa is an eyesore to the nation.

I hereby dare call for an impeachment of these highly-biased incompetent CCM cadres being forced on us in a parliamentary post that call for high-calibre cool-mind and impertial personality.

Each time I think of parliament stewardship outside the prisms of Mzee wa Standards and Speed Ijust get sick of these names of Ndugai and Makinda - these are a typical one-party state kind of speakers and not anything beyond that mark.

Kero tupu hawa!!!!!!!!!!
 
Hili Bunge la Tanzania sijui linafuata Mfumo Gani, Make kwenye Mfumo wa Mabunge ya Jumuia ya Madolla halimo, Na hata Tusi la Yule mheshimiwa halijawahi tolewa kwenye Mabunge ya Jumuia ya Madolla na lime weka record mpya kabsa
 
ufafanuzi please. unamaanisha nani hajaolewa???
Nimefanya utafiti na kubaini kwamba ktk maisha ya binadamu awe mwanamme au mwanamke, asipopata bahati ya kuoa au kuolewa ni kuwa atakapofikia umri wa uzeeni atachanganyikiwa( totally frustrated).
 
Mkuu hilo si bunge bali ni kijiwe cha wahuni na wavuta unga na wanywaji wa kangara na mataputapu. Cjawahi kuona bunge la ajabu kama hili la Bikiroboto na msaidizi wake macho mekundu!
Hii ni mpya na imeanza kazi kabla ya kutungwa inasema mbunge akiomba utaratibu /mwongozo maranyingi atatolewa nje na kufungiwa kuingia bungeni kwa siku tano NIANBIE TUNA BUNGE AU KLABU YA POMBE ZA KIENYEJI?
 
mkuu 'bungeni' ungetusaidia sana ktk hili kutokana na jina lako na vilevile nyie wenye MBWA. Naomba utusaidie kuhusu hili inakuwaje kanuni inapitishwa kienyeji hivi wakati huyo mpitishaji ndiyo aliyevunja kanuni nyingine?
 
Huyu Mwanamke ndo amewaharibia wanawake wote. Akili ndogo imejidhihilisha kwa huyu mama. Kweli ni vigumu sana hakiri ndogo kuongoza zile kubwa. She had been showing all elements of Incompetent leader, the leader without confidence na amepwaya mama wa watu. It was unbelievable when she was elected by her party on the criteria of gender equality, instead of considering professionalism. Madam Speaker Viatu Vimekupwaya na hilo liko wazi.
 
Back
Top Bottom