John Shibuda: 2015 utarudia matapishi

John Shibuda: 2015 utarudia matapishi

MAGEUZI KWELI

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2011
Posts
1,947
Reaction score
254
Huyu jamaa wapiga kura wake walimchagua kama Shibuda au kama CHADEMA?.
Kama walikuchagua kama CHADEMA nakupa pole 2015 maana huna nia moja ya mabadiliko ya kisiasa.
Nakutafakari
 
Aliingia kama Chadema kwa sababu alifaulisha last point otherwise angemwagwa na magamba.
 
Ningekua mimi ni msanii wa nyimbo za Taarabu basi nisingepata shida ya mistari ningemfuata Shibuda aniandikie nyimbo!
 
Back
Top Bottom