Gharama za mikutano ya leo kati ya CHADEMA(mwanza) CCM(moro)

Gharama za mikutano ya leo kati ya CHADEMA(mwanza) CCM(moro)

Hata kama hakuna uhalisia lakini mkutano wa CCM utakuwa umegharimu fedha nyingi.

Diamond alisema hafanyi showa chini ya Tshs 10ml na siyo 25ml kama ulivyosema.
 
Gosh.......CCM ni chama mfilisi. Just a single public meeting can consume such cup of shs, tu..mba..fu kabisa and this is a very bad she..nzi..ness
 
Hizo hesabu zako zina dosari kubwa, 70000/ ni pesa ndogo sana. na kama ulimaamisha 700000/ pia haiwezekani, huo ni uongo au siasa.
 
Tuanze na CHADEMA
· matangazo ya kualika watu mikutanoni
Gari la chama limetumika kutangaza na wameweka mafuta ya elfu 60000/= tsh
· maandalizi ya mkutano
limetumika jukwaa la chama limebebwa na gari la matangazo
pia madawati manne yameazimwa kwa ajili ya wabunge na wengine wamesimama namzee mmoja kajitolea umeme

· wasanii
ametumbuiza sugu mwenyewe
· usafiri
kila mtu kaja kwa usafiri wake
· mavazi na bendera

hakuwapo aliyegawiwa mavazi kila mmoja kajitegemea

· mapambo

wamenunua ribon nne za rangi ya chama kwa ajili ya kuzungushia uzio 10000/=

· mapambo

wananchi wamechangia jumla 400,000/=

jumla gharama
70000/=






Mh!!! Kwa tathmini ya haraka haraka hii sio kweli
- Kwamba viongozi hawakuwekewa mafuta kwenye magari ya
- Kwamba hakukuwa na vikao vilivyotangulia kwanza ambapo wajumbe walipaswa kula na kunywa
- Kwamba kwenye mkutano hata maji ya kunywa hayakununuliwa
- Kwamba hakuna watu waliolipwa kwa kusimamia mambo kadhaa kwenye mkutano
- Kwamba hakuan mawasiliano yoyote yaliyofanywa
- Hata umeme ilikuwa bure pia

Hata kama ni kuipenda Chadema nadhani uwe realistic. Tumaini Makene, unaweza kuthibitisha hoja ya huyu ndugu?
 
Last edited by a moderator:
Mh!!! Kwa tathmini ya haraka haraka hii sio kweli
- Kwamba viongozi hawakuwekewa mafuta kwenye magari ya
- Kwamba hakukuwa na vikao vilivyotangulia kwanza ambapo wajumbe walipaswa kula na kunywa
- Kwamba kwenye mkutano hata maji ya kunywa hayakununuliwa
- Kwamba hakuna watu waliolipwa kwa kusimamia mambo kadhaa kwenye mkutano
- Kwamba hakuan mawasiliano yoyote yaliyofanywa
- Hata umeme ilikuwa bure pia

Hata kama ni kuipenda Chadema nadhani uwe realistic. [MENTION=65760]Tumaini vigezo vya pande mbili vinalingana kama kungekuwa na utofauti hapo sawa wabunge hujigharamia safari zao wenyewe iwe chadema au ccm.
 
Kumchuna funza ngozi si jambo la maana sana. Twende kwenye pofu na tembo huko kuna ngozi inayochunika vizuri!!
 
Ha! Ha! Ha! Ha! Usisahau Na ile Posho ya Mwenezi na katibu Mkuu kwa wiki nzima na gharama za Viburudisho vyao , kwa maana ya VITUMBUA n.k !
 
Kwanini wananchi ni masikini wakati kuna rasilimali nyingi?

SIJUI.
 
watu wameenda mkutanoni kumuangalia diamond na sio kusikiliza siasa.
 
Naona Bavicha wanajiliwaza na kujifariji.
 
Hata kama hakuna uhalisia lakini mkutano wa CCM utakuwa umegharimu fedha nyingi.

Diamond alisema hafanyi showa chini ya Tshs 10ml na siyo 25ml kama ulivyosema.

Yeye ni mkereketwa wa chama na amejitolea Mkuu
 
Back
Top Bottom