Ni ukweli mtupu kua kama uchaguzi ungefanyika leo 60% ya wananchi wa Tanzania wasingepiga kura kwa sababu asilimia hiyo ni watoto walio chini ya umri wa miaka 18. je hii sheria eti hadi mtu...
Sisi nivijana wa CHADEA tawi la Chuo Kiku cha SAUT (CHASO SAUT), tumeamua kujiungarasmi humu jamvini na tunaomba mtupokee. Tumekuwa menbe katika mitandao mingineya kijamii ikiwemo facebook...
Akijibu swali la nyongeza la mbunge Machali,waziri Kabaka amesema kuwa sheria iko wazi kuwa mfanyakazi yoyote Tanzania atajiunga na chama cha wafanyakazi kwa hiari.Akiamua kwa hiari yake kujiunga...
Anaitwa Hilder Ngoye,
Jionee mwenyewe CV yake.aliwahi kuwa RC wa kilimanjaro na mwenyekiti wa NEMC.kwa sasa ni mbunge viti maalum lakini elimu yake utata. kwa mujibu wa taarifa zake kweny website...
Ukiachana na biashara za matusi bungeni leo nilikuwa na hamu ya kusikia bujeti ya wizara ya maji nikiamini huenda ikatoa mwanga ili nami mkazi wa jiji kuu la Tanzania niache kuoga kwa kutumia kopo...
Nimependa kufahamu elimu ya hawa viongozi wa kitaifa, yeyote mwenye data za uhakika plz aniwekee nipate kuona; kuna msemo usemao "a good leader is born" kuna mwingine usemao "a good leader is...
Kwa kile nilichikitarajia kutoka kwa serikali ya ssm, leo asubuhi kwenye hotuba ya maji ya mheshimiwa Mghembe, amaedanganya umma kwa kusema serilaki imetandika mabomba ya maji katika mji wa Bunda...
Wana jamvi, hivi karibuni nimesikia kauli ya mkuu wa kaya akiwa Uholanzi akiwaambia watanzania waishio huko ya kwamba hajashindwa kuongoza nchi. Jana tena mkuu wa kaya ndogo (znz) na yeye...
Palestine wants Dar to lead Mideast peace process
2006-06-12 09:33:42
By Pacifique Nkeshimana
Palestine wants Tanzania to take the lead in mediating peace between the main protagonists...
CHADEMA kama chama kikuu cha upinzani hapa nchini ni wajibu wake kuhoji jambo au maswala ya muhimu kwa niaba ya wananchi kwa serikali ya CCM inayoongonzwa na rais Kikwete.
Lakini cha kushangaza...
Dk. Hoseah: Rushwa imetuvunjia heshima
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (TAKUKURU), imekiri kwamba tatizo la rushwa nchini ni kubwa na sasa limeivunjia heshima Tanzania katika...
Wakati Tanzania ikielekea kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2015, wasiwasi umeanzakuzuka kwamba taifa hilo lililosifikana kuwa kisiwa cha amani katikati ya mataifa mengine yenye machafuko, nalo...
Wakati akichangia hotuba ya ofisi ya raisi utumishi mbunge Vullu (ccm) nimemsikia akisema serikali imeongeza kiasi cha sh 20,000/= flat rate kwenye mishahara ya wafanyakazi, hivi kweli serikali...
WAKUUU MLIOPO HUKO MJINI MBEYA, TUPATIENI UPDATE ZA MKUTANO WA CHADEMA AU SIYO LEO??/
WADAU MWENYE UPDATE TAFADHALI.........
Cc; Mohamed Mtoi, Tumain Makene, John Mnyika, Sugu et al.... Up date...
Hakuna ubishi hivi sasa vyombo vya habari tanzania vinaikaka nchi vipande vipande. Kuna ambavyo vimeamua kuipigania serikali kuna vilivyoapa kuwa havitaweka top coverage ya serikali hata kama rais...
Nimemsikiliza Mbunge wa Rombo, Joseph Selasini (CHADEMA) na nahau zake bungeni, nimevutiwa na kauli aliyoitoa kwamba, Chuo
Kikuu cha Dodoma (UDOM) kuna udini. Katika matamshi yake anasema, CD...
Jana katika bajeti ya kilimo, wabunge kadhaa walishauri serikali isitishe ugawaji wa mbolea ya RUZUKU kwa njia ya vocha. Sababu ni kwamba mawakala na wadau wengine wamekuwa wakiiba vocha hizo na...
Makamanda najaribu kupitapita humu mitaani naona kila kona wanazungumzia CHADEMA na ujio wa M4C, wanatabora wanashauku kubwa baada ya kusahaulika kwa muda mrefu, nafikiri yule bingwa wa safari za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.