Alfu Lela Ulela
JF-Expert Member
- Oct 29, 2010
- 1,255
- 77
Sisi nivijana wa CHADEA tawi la Chuo Kiku cha SAUT (CHASO SAUT), tumeamua kujiungarasmi humu jamvini na tunaomba mtupokee. Tumekuwa menbe katika mitandao mingineya kijamii ikiwemo facebook, twitter na tunamiliki blog yetu kwa jina laCHADEMA SAUT (anuani chadema-saut.blogspot.com. Lakini tumeona ni vyema piatukawa member kwenye mtandao huu wenye watu wengi wenye kiu ya kufikiri nakuchambua mambo kwa kina.
Kwa kifupi tawi letu ni miongoni mwa matawi makongwesana katika vyuo vya elimu ya juu, na lilizinduliwa rasmi na Mwenyekiti waCHADEMA taifa Mh.Freeman Mbowe mwaka 2006, wakati huo ofisi yetu ikiwa maeneoya Kijiweni (Nyegezi).
Prof.Kahigi alikuwa mwanachama wa tawi hili wakati anafundisha chuo kikuu cha SAUT. Ni tawi hili lililomtoa Mh.Mkosamali Felix (mbunge wa Muhambwe). Alikuwa Mwanachama watawi hili hadi mwaka 2010 alipoamua kuhamia NCCR-Mageuzi. Mwenyekiti wa BAVICHA wilaya ya Morogoro mjini Bw.Samwel Mpate alikuwa mwenyekiti wa tawi hili mwaka2011/12.
Mbunge waKasulu Mh.Machali Moses alikuwa mwenyekiti wa tawi hili mwaka 2008 hadialipohitimu chuo 2009, kabla nae hajaamua kutimkia NCCR Mageuzi. Mh.Weje naepia alipata kuwa mwanachama wa tawi hili. Kwa kifupi tawi hili limewajenga, kuwalea na kuwakuza kisiasa wanasiasa wengi maarufu nchini, na kazi hiyo inaendelea kwa wanasiasa chipukizi watakaokuja kuleta mabadilio nchini siku za usoni.
Hivyo tawi hili ni kongwe na ni mfano wa kuigwa na matawi mengine ya vyuo vikuu kutokana na kupiga hatua kubwa ya kimaendeleo. Hadi sasa tunamiliki ofisi kubwa ya kisasa yenye nyenzo muhimu za kazi kama Printer, Computer, photocopy machine, simu ya ofisi, scanner na camera kwa ajili ya katibu mwenezi.
Kwa sasa tawi hili lipo katika kazi maalumu ya kumsaidia Mh.John Mnyika kukamilisha hoja yake binafsi atakayoiwasilisha bungeni muda mfupi ujao (Hoja ya serikali kupunguza gharama za maisha na mfumuko wa bei). Kwa kuwa hoja hiyo inahitaji saini za watu 100,00 tumeamua kumsaidia Mnyika kukusanya saini za watu angalau5,000 kutoka kwa watu mbalimbali ya jiji la Mwanza.
Hayo nimachache japo tumefanya mengi na tunaendelea kufanya lakini kwa ajili ya muda hatuwezi kueleza yote hapa. Hivyo tunaomba mtukaribishe hapa jamvini ili tuweze kujadili kwa pamoja mambo mbalimbali ya msingi kwa manufaa ya taifa letu na dunia kwa ujumla.