Mbona taarifa zake za elimu bungeni hazieleweki?

Mbona taarifa zake za elimu bungeni hazieleweki?

Alfu Lela Ulela

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2010
Posts
1,255
Reaction score
77
Anaitwa Hilder Ngoye,
Jionee mwenyewe CV yake.aliwahi kuwa RC wa kilimanjaro na mwenyekiti wa NEMC.kwa sasa ni mbunge viti maalum lakini elimu yake utata. kwa mujibu wa taarifa zake kweny website ya bunge ni kuwa alipomaliza elimu ya msingi alisoma kwanza diploma, ndipo akajiunga sekondari.

MEMBER OF PARLIAMENT CV
GENERAL
Salutation Honourable Member picture
First Name: Cynthia
Middle Name: Hilda
Last Name: Ngoye
Member Type: Special Seat
Constituent: No Constituency
Political Party: CCM
Office Location: P.O. Box 425, Tukuyu
Office Phone: +255 754 551122/+255 784
332144
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail: cngoye@parliament.go.tz
Member Status: Current Member
Date of Birth 16 October 1943

EDUCATION
School Name/Location Course/Degree/Award Start Date End Date Level
University of Dar es Salaam BA. (Education in Social
Science) 1977 1980 GRADUATE

Lugalo Secondary School A-Level Education 1976 1977 HIGH
SCHOOL

Lugalo Secondary School O-Level Education 1972 1975 SECONDARY

Australia Domestic Science College Development Studies 1970 DIPLOMA

Ndwika Teaching College Teaching Course 1960 1962 CERTIFICATE

St. Mary's Girls' Liuli Primary
School Primary Education 1955 1959 PRIMARY

EMPLOYMENT HISTORY
Company Name Position From To
United Republic of Tanzania Regional Commissioner 2000 2006
The Parliament of Tanzania Member - Special Seat 2000 2015
United Republic of Tanzania District Commissioner 1985 2000
Ministry of Education Principal Academic Officer 1980 1985
Ministry of Education Teacher 1962 1977

POLITICAL EXPERIENCE
Ministry/Political Party/Location Position From To
CCM-Chama Cha Mapinduzi Member of Parliament of Tanzania 2000 2005
CCM-Chama Cha Mapinduzi Party Secretary 1989 1990
CCM-Chama Cha Mapinduzi Member of Political Committee 1982 1985
CCM-Chama Cha Mapinduzi Member of Parliament of Tanzania 1982 1985
CCM-Chama Cha Mapinduzi Member 1977 Todate

SPECIAL SKILLS
Skill Name or Description Years Experience Acquired Through
 
Mbona ana elimu inayoeleweka. Amesoma msingi akaenda Diploma - Unashangaa nini, mbona leo mnaandaa programme ya kutoka shule ya msingi moja kwa moja kwenda chuo kikuu!!!!!!
 
Umeshafuatlia matumizi ya ruzuku ya chama chako (CHADEMA)?
 
Ruzuku nini tuko bize tunafuatilia hela za wakulima wa korosho newala.... Na kodi za watanzania ...
 
Kweli Bongo kuna matapeli wa elimu................. Mimi nilisoma Lugalo miaka ya themanini. Lugalo haikuwa na A level sasa leo kuna mtu anatuambia alimaliza A level Lugalo!!??? Hiyo ni Lugalo ya wapi?? Lugalo ya Iringa tunayoifahamu wote au??? Maana Lugalo ya Jeshi haikuwepo wakati huo!!!
 
Ina maana huyu mama aliingia form 1 akiwa na miaka 29. Kazi ipo kweli
 
Inaeleweka kabisa, alisoma mpaka darasa la 8 (mfumo wa zamani) halafu akasomea ualimu wa shule za msingi. Baadae akajiendeleza na masomo ya sekondari yaani O & A level na kuweza kupata sifa za kujiunga na chuo kikuu.
 
Ina maana alisoma Lugalo kama kituo cha mitihani na sio lazima iwe ile miaka minne ya kawaida.

Kumbuka bila matokeo hayo ya form four na six Kwa miaka hiyo asingeliweza kuingia UDSM miaka ya 70.

Huyu mama kajitahidi kujiendeleza na ni mfano wa kuigwa na wale ambao kwasababu moja ama nyingine hawakusoma moja kwa moja.

Kweli Bongo kuna matapeli wa elimu................. Mimi nilisoma Lugalo miaka ya themanini. Lugalo haikuwa na A level sasa leo kuna mtu anatuambia alimaliza A level Lugalo!!??? Hiyo ni Lugalo ya wapi?? Lugalo ya Iringa tunayoifahamu wote au??? Maana Lugalo ya Jeshi haikuwepo wakati huo!!!
 
Back
Top Bottom