Mjenda Chilo
JF-Expert Member
- Jul 20, 2011
- 1,474
- 530
Ukiachana na biashara za matusi bungeni leo nilikuwa na hamu ya kusikia bujeti ya wizara ya maji nikiamini huenda ikatoa mwanga ili nami mkazi wa jiji kuu la Tanzania niache kuoga kwa kutumia kopo lakini naona midomo na picha sauti hamna, kunani?