Wakuu salam,
Ninafikiria kugombea ubunge 2015 kwa nia ya kuwakilisha vyema zaidi jimbo langu na kuutumikia umma wa TZ. Nina nia. Miaka nenda rudi jimbo hili limekuwa likitoa wabunge wasioongea bungeni, wengi wao wana elimu ya darasa la saba. Mpaka sasa sijaamua nigombee kupitia chama kipi na ukweli sina uzoefu wa kivitendo ktk siasa. Nimewahi kuombwa na watu wachache nijitose ktk siasa.
Naombeni ushauri wenu, nini cha kufanya ili nifanikiwe katika safafri hii mpya. Safari ya kuwa mwanasiasa!
Asanteni wote.