Wabunge Viti Maalum wadai FEDHA za mfuko wa majimbo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wabunge Viti Maalum wadai FEDHA za mfuko wa majimbo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Sr. Magdalena, Apr 16, 2012.

 1. Sr. Magdalena

  Sr. Magdalena JF-Expert Member

  #1
  Apr 16, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 770
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 45
  Wabunge wa viti maalum wanaishinikiza serikali na wao wapatiwe fedha za mfuko wa majimbo kama wabunge waliochaguliwa na wananchi kwa sanduku la kura, Tanzania where are we heading now?..really..?
   
 2. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #2
  Apr 16, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,266
  Trophy Points: 280
  Wakati wanapitisha miswada ya kijinga kama hiyo walidhani Wabunge wote watapewa pesa za sadaka!!??..........hivi simple mathematics mfuko ni wa jimbo kwa ajili ya jimbo, mbunge wa viti maalum hana jimbo na hayuko answerable kwa wananchi sasa huu kama sio ni wehu tunauitaje?
   
 3. Mwana Mpotevu

  Mwana Mpotevu Platinum Member

  #3
  Apr 16, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 3,294
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  wapewe fedha za mfuko wa JIMBO ili wakapeleke maendeleo kwenye JIMBO gani wakati wao ni viti vya upendeleo?? Bora wale wa JIMBO la IKULU akina Zakia Meghji wakiomba maana jimbo lao la IKULU linahitaji fedha zaidi kwa ajili ya safari za nje
   
 4. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #4
  Apr 16, 2012
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Fedha za majimbo au za vitu maalum? Wana majimbo hao?
   
 5. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #5
  Apr 16, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Sisi hapa wadanganyika hii mifuko ya majimbo wabunge wetu wanafikiri ni sawa na bingo ya mabilioni ya Kikwete!! Wenzenu Kenya hizi fedha za mifuko ya majimbo have to be accounted for failure of which the responsible MP is prosecuted. Wabunge wetu hawaelewi kuwa wanatakiwa kuaccunt for the money they are allocated to be spent in their constituencies.
   
 6. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #6
  Apr 16, 2012
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Viti vyenyewe vya upendeleo nina mashaka navyo. Hivi naye VICTORIA KAMATA kule Bungeni ana mchango gani? Unajua msilete utani kwenye kazi. Hata hizo za majimbo kwa hao waliochaguliwa nina mashaka nazo. Zitafanya kazi kwa mabunge kama mzee na mheshimiwa Ndesamburo ambaye amekuwa akitumia allowance na malipo mengine ya Bunge kuendeleaza mji wa Moshi. Tuwapime kwanza kwa uaminifu wao. Sasa bi kidude alishasema hela yao haitoshi na asilimia kubwa wanataka kuacha ubunge, si watatumia hiyo Development Fund kama top up!!! Just thinking aloud!!! Poor Tanzania!!
   
 7. OLESAIDIMU

  OLESAIDIMU JF-Expert Member

  #7
  Apr 16, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 19,193
  Likes Received: 182
  Trophy Points: 160
  Is it????? Mungu atuangazie huruma waja wake
   
 8. J

  JEMEDARI .H. JF-Expert Member

  #8
  Apr 24, 2013
  Joined: Oct 29, 2012
  Messages: 341
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Ndugu wana jf, mwenzenu naona giza hii nchi inakoelekea maana inashangaza mbunge wa viti maalumu kuomba apewe fedha za ruzuku.
   
 9. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #9
  Apr 24, 2013
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,129
  Likes Received: 1,083
  Trophy Points: 280
  Ni Mbunge wa chama gani JEMEDARI .H.?
   
 10. Komeo

  Komeo JF-Expert Member

  #10
  Apr 24, 2013
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 2,393
  Likes Received: 423
  Trophy Points: 180
  Za nini tena hizo fedha? Mbona mbunge mwenzao Mh. Lusinde keshabainisha wazi kuwa kazi yao wabunge wa viti maalum ni kuliwa pale Dodoma hadi wanapata mimba za fasta fasta? Inabidi waendelee kuchukua fedha kwa wanaume kama kawaida, na sio kutengewa fedha nyingine ambayo itakuwa ni double allocation!
   
 11. K

  Kajunjumele BA JF-Expert Member

  #11
  Apr 24, 2013
  Joined: Jan 3, 2012
  Messages: 674
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Kuna tatizo na ukakasi katika suala zima la mfuko wa Jimbo.Usimamizi wake ni wa Utata na hicho ndicho kinawafanya wale wa Bunge wa Viti Maalum nao Kuomba wakumbukwe .Nivema viti hivi kuondolewe kwani badala ya kulenga kuleta Usawa wa Jinisa na kuongeza uwakilishi wa Mawazo ya wanawake walioko pembezoni vimepotoshwa na sasa kinachofanyika ni womanization of the the Parliament kwa kulazimisha na kupima ufanisi kwa kuangalia idadi ya wanawake na wanaume...siyo tu kwamba hawastahili fedha hizo bali hata uwepo wao hauna tija kabisa...Na wameshindwa kutetea maslahi ya wanawake wenzao katika mijadala yote inayoendelea Bungeni na wamebaki wadandiaji wa migongano na hoja za wanaume
   
 12. T

  Tulimumu JF-Expert Member

  #12
  Apr 24, 2013
  Joined: Mar 11, 2013
  Messages: 7,433
  Likes Received: 2,931
  Trophy Points: 280
  Wao hawana majimbo wanataka wazipeleke wapi? Au hawajui maana ya jimbo.
   
 13. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #13
  Apr 24, 2013
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  He he he, wamejisahau.
   
 14. Jagarld

  Jagarld JF-Expert Member

  #14
  Apr 24, 2013
  Joined: Apr 7, 2011
  Messages: 1,532
  Likes Received: 222
  Trophy Points: 160
  Wabunge wa viti maalum hawajakosea kwa sababu ya mfumo wetu wa upigaji madili,wabunge wa majimbo hela hazifanyi kazi kusudiwa.kwa mfumo tulio nao unaweza fikiri viti maalum havina umhimu lakini na hawa wa majimbo kazi na ufanisi unakidhi kutufanya tuendelee kuwa na bunge kubwa kama hili(idadi)?
   
 15. m

  mnyamiwono JF-Expert Member

  #15
  Apr 24, 2013
  Joined: Oct 7, 2012
  Messages: 707
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  hiyo siyo sawa, huu ni uhujumu uchumi wa wazi kwani mifuko iliyopo
  inafanyakazi gani? viti maalum ni sawa na sadaka katika jukwaa la
  siasa.
   
 16. m

  mandemba Senior Member

  #16
  Apr 24, 2013
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 103
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Aaaaah hata Mbatia jaman .......
   
Loading...