Meya wa Arusha na madiwani wa CCM wauza kiwanja cha wazi Korido Area

LENGIO

JF-Expert Member
Apr 9, 2012
1,096
508
Meya wa Arusha Gaudens Lyimo na baadhi ya madiwa wa CCM wameuza eneo la wazi lililoko Arusha keep left ya Kijenge kwa Greeks Club.

Kiwanja hicho namba 101, kiwanja cha wazi kilichopo kata ya Themi.

Natoa wito kwa wana Arusha, dawa ni kumuondoa huyu meya,na kumuondoa ni kuchagua CHADEMA kwenye uchaguzi wa mwezi ujao.
 
Cheap propaganda. Ingia mtaani kafanye kampeni acha mambo ya ajabu, kama siasa imekushinda kaa nyumbani ufue "boxer".
 
DAh! Lunatics balaa...ile bustani ilikuwa ni muhimu sana kwa Arusha na wakazi wa kijenge! Tayari Mji ulishakosewa toka mwanzo ndo maana hauna mpangilio mzuri pamoja na kuwa kuna fursa nyingi sana za kitalii...Sijui hawa watu wamelogwa au ndo mambo yale yale ya chukua chako mapema?... Wana wa A-town msikubali huu upuuzi ....komaeni mpaka kieleweke...
 
Cheap propaganda. Ingia mtaani kafanye kampeni acha mambo ya ajabu, kama siasa imekushinda kaa nyumbani ufue "boxer".

we ni mshenzi kweli kweli eneo limeuzwa kweli na nimepita hapo wanajenga ukuta,kuna wakati walizungusha mabati yakang'olewa leo hii kwanini wazungushe ukuta?wacheni kutetea ujinga wakati uelewi.
 
Kaka ni kipi hapo maana mama [h=1]Anna Tibaijuka yupo humu aanze na hili.[/h]
attachment.php

kijengee.png
 
Lengio hebu toa maelezo vizuri, ni mbele ya Greek Club kama unatoka town sometime huwa wanafanyia maenyesho ya bidhaa zinazotengenezwa wanawake au
 
hahaa mkuu una mkwara wa google earth....

Sio Mkwara ndio ramani ambazo tunaweza kuzipata kiurahisi na tunatakiwa kuonyeshana na sio kwa maneno. Ramani za Ardhi utaipewa na nani ili iwekwe humu? Raha ya maendeleo hii ardhi siku si nyingi wataacha kutunyanyasa na ramani zao zinazoeditiwa kila siku kulingana na mtakwa ya wakubwa.
 
Kama ikibainika wameuza ni hatari sana kwani hakuna mtu atakaye nyamaza hadi kitakaporudishwa
 
Sio Mkwara ndio ramani ambazo tunaweza kuzipata kiurahisi na tunatakiwa kuonyeshana na sio kwa maneno. Ramani za Ardhi utaipewa na nani ili iwekwe humu? Raha ya maendeleo hii ardhi siku si nyingi wataacha kutunyanyasa na ramani zao zinazoeditiwa kila siku kulingana na mtakwa ya wakubwa.

Hahaaa, mkuu hi inakuwa feeded na watu kama sisi, ukijua eneo unaweka taarifa, haha..
 
Back
Top Bottom